HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kia mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.

Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505000 hadi 52000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.

Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa kulingana na siku za masomo?
View attachment 1512144

Sasa wewe unataka kulipwa hata kuzidi siku ulizo soma? Ujaelewea nini hapo? Unataka upewe hela hata siku ambazo ulikuwa nyumbani? Acha ujinga fanya hesabu hizo
 
Mr Tyang,
Kama ndivyo Hili suala sio la kukulupua watu, walipaswa wawaeleze mapema kuwa kutakuwa punguzo ya pesa hivyo watu wajiandae. Suala la kutoa taarifa wkati wakuwapa hizo pesa hajatenea sawa Kuna wanaotegemea kulipia ada, mbona kumekuwa na usiri?? Hii sio sawa pesa za chakula hulipwa kwa semester
 
Boom mwanafunzi analipwa kwa idadi ya siku alizosoma darasani.. Utumie siku 10 kwa non ulipwe 20?? Ada hutumika pia kuendeshea shughuli zingine za chuo kulipa wafanyakazi, bill za umeme, maji, n.k
Acheni kunyanyasa wanafunzi!! Kwenye mkataba kuna mahali popote mlisema siku zikipungua, mtapunguza pesa pia?
 
Sasa wewe unataka kulipwa hata kuzidi siku ulizo soma? Ujaelewea nini hapo? Unataka upewe hela hata siku ambazo ulikuwa nyumbani? Acha ujinga fanya hesabu hizo
Wew unawezaje kumkata mtu pasipo kumpa taarifa? Au ndio kusema Corona haokuletwa na serikali?
 
Mbona wabunge ,walimu mishahara Yao ilikuwa palepale wakati wa Corona?
Wanawanyanyasa Sana wanafunzi
 
Inaweza kuwa imepunguzwa kweli
Kwani si huwa inatolewa kulingana na idadi ya siku wawapo chuoni.
Kutokana na Covid-19, siku zimepungua.

Robo ya tatu walitoa jumla billioni 63.7,
Robo ya mwisho wametoa 44.5 billioni.
Mbona walimu walilipwa kawaida ? Au Corona ni tofauti
 
Sasa wewe unataka kulipwa hata kuzidi siku ulizo soma? Ujaelewea nini hapo? Unataka upewe hela hata siku ambazo ulikuwa nyumbani? Acha ujinga fanya hesabu hizo
Mbona walimu walilipwa wakiwa nyumbani?
 
Wamefanya vizuri pia unalipwa kulingana na siku unazo kaa chuoni, unataka ulipwe pesa zaidi hujui kuna miradi inataka pesa
 
Safi sana kuna wanachuo wapumbavu sana CCM imefanya makubwa haya uchumi wa kati huo
 
Kama ndivyo Hili suala sio la kukulupua watu, walipaswa wawaeleze mapema kuwa kutakuwa punguzo ya pesa hivyo watu wajiandae. Suala la kutoa taarifa wkati wakuwapa hizo pesa hajatenea sawa Kuna wanaotegemea kulipia ada, mbona kumekuwa na usiri?? Hii sio sawa pesa za chakula hulipwa kwa semester
Mkuu Kuna sehemu gani kwenye mkataba pameandikwa kuwa pesa ya chakula italipwa kwa semester? Nayo imekuwa Ada?

Mkataba upo wazi kabisa kuwa pesa ya chakula na malazi italipwa kwa Siku ambazo mwanafunzi atakapokuwa masomoni, Sasa Kama mtu anaondoka chuoni August mwishoni unataka apewe pesa ya kujikimu Hadi ya mwezi wa kumi wakati hayupo chuoni kimasomo?

Kuhusu kupewa taarifa ilishatolewa zamani Sana kwenye mkataba Kama mtu alisoma mkataba vizuri na kuuelewa kabla ya kuomba mkopo hawezi shangazwa na mabadiliko haya.

Halfu hajaandikwa kwenye mkataba kuwa pesa ya chakula itatumika kulipa ada Bali hayo Ni matumizi ya mtu binafsi Ila matumizi elekezi ya hiyo pesa Ni chakula na maladhi tu. Ukiitumia kulipia ada, usafiri, kununulia viwalo, kuhonga na n.k hiyo Ni juu yako na Wala siyo wao.
 
Wamefanya vizuri pia unalipwa kulingana na siku unazo kaa chuoni, unataka ulipwe pesa zaidi hujui kuna miradi inataka pesa
Umenena vyema mkuu Yani watu nashangaa wanakaza mafuvu kwa hesabu ndogo kabisa ya kutoa siku ambayo hata mtoto wa dalasa la nneD anaweza kuelewa.
 
Mnaosema siku zimebakia chache hivyo ni haki Bodi kupunguza, basi hata na ada ya chuo ingepunguzwa kwasababu siku zimepungua.
 
Back
Top Bottom