Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
MKOPO !!!! Kumbuka ni Mkopo sio Grant..., alafu unajisifia kwa watu wachache kupata Mkopo 100% na Sio wote..., Kama Hii ni nguvu kazi ya kesho na huu ni ufunguo wa maisha na pesa hizo wanatoa wananchi kwenye Tozo na Makodi iweje wote waliomaliza wanaotaka kusoma wasikopeshwe ?
Na unakopesha watu wakimaliza hakuna guarantee ya kupata chochote let alone kurudisha hayo madeni !!!
Bado unasema Elimu bure wakati unawasaidia watu huku kwenye kulipa elfu 20 (ambazo watu wanaweza kuzipata) na kuwanyima Mkopo huku kwenye Milioni Mbili na zaidi !!!
Huu kama sio utapeli bali duniani hakuna utapeli