HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

MKOPO !!!! Kumbuka ni Mkopo sio Grant..., alafu unajisifia kwa watu wachache kupata Mkopo 100% na Sio wote..., Kama Hii ni nguvu kazi ya kesho na huu ni ufunguo wa maisha na pesa hizo wanatoa wananchi kwenye Tozo na Makodi iweje wote waliomaliza wanaotaka kusoma wasikopeshwe ?

Na unakopesha watu wakimaliza hakuna guarantee ya kupata chochote let alone kurudisha hayo madeni !!!

Bado unasema Elimu bure wakati unawasaidia watu huku kwenye kulipa elfu 20 (ambazo watu wanaweza kuzipata) na kuwanyima Mkopo huku kwenye Milioni Mbili na zaidi !!!

Huu kama sio utapeli bali duniani hakuna utapeli
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Mama hapa kasaidia sana
Wahenga tunajua shida ya kupata kidogo /kukosa kabisa au kuchelewa kupokea hizo pesa.
Watoto wa hizo familia hata nauli ni tatizo bora Mama amekuja na option hii.
 
Mama Samia kiboko aise, Tumuungeni mkono,
Mikopo ni ya kibaguzi sana hakuna hata sababu ya kuchekelea wale watoto wa wastaafu ambao wazazi wao waliwasilisha private masikini kwa kujima wanakamatwa kupewa mikopo Mungu anawaona watasoma tu kwa taabu hadi wanamaliza ila watafurahia kwa vile watakuwa hawadaiwi mikopo hiyo ya kibaguzi
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Nani kabaguliwa mkuu?
 
Mama noma πŸ˜€πŸ˜€
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Nimecheka Sana mikopo wakiwa kwao hahahaha

USSR
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Hongera Mhe Rais Samia
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
 
Daah
 
Mama Chapa kazi achana na maneno
 
Kama hayo ndio maelekezo ya Mh. Rais basi HESLB wanamhujumu mkuu wa nchi maana wapo wanaotoka kaya maskini tena wanufaika wa TASAF na niyatima wa mzazi mmoja hawajapewa mkopo mpaka wamekata rufaa. Wengine wenye sifa kama hizo wamepewa hata haifiki asilimia 40.
HESLB inamhujumu mkuu wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…