King Innocent
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,046
- 715
Kulikuwa na mwamba?Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya madini? Natanguliza shukrani zangu kwa ufafanuzi wako.
Kulikuwa na mwamba?
Je hiyo hewa ilikuwa na harufu yoyoe
Kuhusu mwamba sijui, ila hewa haina harufu yeyote.Kulikuwa na mwamba?
Je hiyo hewa ilikuwa na harufu yoyote?
Miaka 5 nyuma na hiyo hali imeendelea kutokea mpaka unatoa taarifa hii leo?Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya madini? Natanguliza shukrani zangu kwa ufafanuzi wako.
Maabara zipi zinahusika na uchunguzi? Na kama choo kinatumika itaezekana kufanya uchunguzi?Ilipaswa ichunguzwe maabara tupate majibu
kwani wewe ukitowa hewa inakuwa nini?Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya madini? Natanguliza shukrani zangu kwa ufafanuzi wako.
Mkuu nilisha ripotisha kwa diwani wangu, hatukupata msaada, na hata Leo sijui niripoti kwa nani tupate msaada wa wataalamu, huwenda tunanyea utajiri.Miaka 5 nyuma na hiyo hali imeendelea kutokea mpaka unatoa taarifa hii leo?
Scientifically kuna kitu kinaitwa "MINERALS DECOMPOSITION JN THE CRUST AND ITS CONSCIQUENCES ON EARTH SURFACE"
Naishia hapa, wajuzi watakuja kukuelezea na uwelewe kwinini hiyo hali inatokea muda wote huo, wewe na mzee wako mmekaa kimya tu.
tafuta watu wa jeolojia walipeni watafanya survey watakuambieni. ama unaishi na hatari au faida bila kujua.Mkuu nilisha ripotisha kwa diwani wangu, hatukupata msaada, na hata Leo sijui niripoti kwa nani tupate msaada wa wataalamu, huwenda tunanyea utajiri.
Twenzetu tukawe chawa wake. Jamaa kakalia mgodi halafu anauweka kinyesi🤣Kuna madini hapo mkuu,usipuuzie kabisa
Anahatari sana huyu...dadeki🥴Twenzetu tukawe chawa wake. Jamaa kakalia mgodi halafu anauweka kinyesi🤣
kwani wewe ukitowa hewa inakuwa nini?
Gas hiyo kijana.
Hapo ni kufanyiwa utafiti tu, ijulikane ni gas ipi. Kuna zingine ni hatari sana kama hazijadhibitiwa
Dah hatari, tulivo tena chini ya mlima Kilimanjaro nimetishika kidogo.Tunaipa dunia pacha za kutosha siku ikiamua kusambalatika itakuwa balaa
Gesi
Mafuta
Madini
Na yenyewe kujitumbua kwa volcanos mwisho wa siku itakuwa balaa.(ANYWAY MSIOGOPE KWA SABABU KILA KITU KIPO KWENYE MOVEMENT YA DESTINATION YAKE)
Bangi zako, madini ya jamhuri🤣🤣tafuta watu wa jeolojia walipeni watafanya survey watakuambieni. ama unaishi na hatari au faida bila kujua.
nb: kama ni kitu cha faida taifa la ukimani watakuambia wanataifisha eneo kwa faida ya serikali
Hawa wanapatikana wapi mkuu, mikoani wapo? mi nipo huku Kijijini nalima migomba sijui nitaanzia wapi.Conduct a geological survey itatupa majibu