Hewa /upepo kutoka chini ya ardhi inaashiria nini?

Hewa /upepo kutoka chini ya ardhi inaashiria nini?

kwani wewe ukitowa hewa inakuwa nini?

Gas hiyo kijana.

Hapo ni kufanyiwa utafiti tu, ijulikane ni gas ipi. Kuna zingine ni hatari sana kama hazijadhibitiwa.
Nitapataje msaada wa watafiti, gharama za kufanya utafiti ndio tatizo
 
Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya madini? Natanguliza shukrani zangu kwa ufafanuzi wako.
Maana yake ardhi inajamba
So tuendelee ku mute, tusije 😃😃
 
Back
Top Bottom