Hewa /upepo kutoka chini ya ardhi inaashiria nini?

Hewa /upepo kutoka chini ya ardhi inaashiria nini?

Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya madini? Natanguliza shukrani zangu kwa ufafanuzi wako.
Kwani hujui kuna ulimwengu mwingine chini ya ardhi (Hollow Earth) .
Dunia ni kama pulizo ndani kuna ulimwengu mwingine na viumbe pia wanaishi humo
 
Mkuu nilisha ripotisha kwa diwani wangu, hatukupata msaada, na hata Leo sijui niripoti kwa nani tupate msaada wa wataalamu, huwenda tunanyea utajiri.
Hicho choo chenu kiko nchi gani mkuu?
Au Wilaya gani maana hujaweka wazi ili wadau tuje kunya hapo pia ufanye utafiti
 
Kwani hujui kuna ulimwengu mwingine chini ya ardhi (Hollow Earth) .
Dunia ni kama pulizo ndani kuna ulimwengu mwingine na viumbe pia wanaishi humo
Mmh nachojua nje ya Dunia ndipo kwenye uhai tu, ila ilo swala la upepo linanishangaza.
 
Back
Top Bottom