Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwani hujui kuna ulimwengu mwingine chini ya ardhi (Hollow Earth) .Wakuu habari za majukumu,
Ningie moja kwa Moja kwenye mada, miaka mitano ilopita mzee alikuwa anachimba shimo la choo, shimo lilipo fika futi nane hewa/upepo mkali ukawa unatoka chini ya ardhi, kwa wataalamu naombeni ufafanuzi je inaweza kuwa ni mkondo wa maji? ama ni ges au kunaaina fulani ya madini? Natanguliza shukrani zangu kwa ufafanuzi wako.
Hicho choo chenu kiko nchi gani mkuu?Mkuu nilisha ripotisha kwa diwani wangu, hatukupata msaada, na hata Leo sijui niripoti kwa nani tupate msaada wa wataalamu, huwenda tunanyea utajiri.
Mmh nachojua nje ya Dunia ndipo kwenye uhai tu, ila ilo swala la upepo linanishangaza.Kwani hujui kuna ulimwengu mwingine chini ya ardhi (Hollow Earth) .
Dunia ni kama pulizo ndani kuna ulimwengu mwingine na viumbe pia wanaishi humo
Karibu sana mkuu, tupo Rombo mkoa wa Kilimanjaro.Hicho choo chenu kiko nchi gani mkuu?
Au Wilaya gani maana hujaweka wazi ili wadau tuje kunya hapo pia ufanye utafiti
Hiyo gesi ina harufu gani na je umejaribu kuwasha moto hapo ukaona nini kinatokea?Yes hadi Leo upepo upo, na shimo la choo linatumika
Niupepo ambao hauna harufu yeyote, kuhusu kuwasha moto sijafanya hivo.Hiyo gesi ina harufu gani na je umejaribu kuwasha moto hapo ukaona nini kinatokea?
Upo karibu na Moshi nije hapo?Niupepo ambao hauna harufu yeyote, kuhusu kuwasha moto sijafanya hivo.