KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna mabwawa yapo mkono wa kushoto wakati unashuka kuikuta Barabara ya kigogo na ubungo. Yale mabwawa ni machafu na huenda mle mnatupwa Kila aina ya uchafu na wanyama waliooza
 
Kuna mabwawa yapo mkono wa kushoto wakati unashuka kuikuta Barabara ya kigogo na ubungo. Yale mabwawa ni machafu na huenda mle mnatupwa Kila aina ya uchafu na wanyama waliooza
Una uhakika chief au unabishiri tu maana mimi nakaa mabibo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…