π€β βοΈπ·πΊ BREAKING: Putin rushes to the Kremlin for a sudden emergency meeting
@Middle_East_Spectator
Nilikiri kwamba Mossad na IDF wametisha kwny intel, wakisaidiwa na US plus EU, lakini kwenye Infantry... Hakuna rangi wataacha kuiona.Mtakimbis wenyewe Lebanon afu US atanza kujidai kusimamisha vita, sa hivi anadhani wale mashoga zake israel watashinda π
Huwa mnanza hivi hivi mbio za sakafuni noma sana. Mkimuweza kumpiga Hezbullah, mjue mtaweza hata kuwapiga North Korea
Au siyo kwahiyo magaidi wanaelekea kushinda πππNilikiri kwamba Mossad na IDF wametisha kwny intel, wakisaidiwa na US plus EU, lakini kwenye Infantry... Hakuna rangi wataacha kuiona.
Putin aache kudeal na WA Ukraine aliowashindwa Kwa miaka 2 Sasa aende kusaidia vikundi vya kigaidi, Israel is a nuclear power Siyo kama Ukraine... Hiyo emergency ni Kwa aJili ya vita yake ya Ukraineπ na si vinginevyoβ βοΈπ·πΊ BREAKING: Putin rushes to the Kremlin for a sudden emergency meeting
@Middle_East_Spectator
Hezbollah watawashinda IDF ardhini...Au siyo kwahiyo magaidi wanaelekea kushinda πππ
Mkuu huu uchambuzi wako hapa umeongozwa na mahaba/udiniHezbollah watawashinda IDF ardhini...
Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...
Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Ndio mkuu.Mkuu huu uchambuzi wako hapa umeongozwa na mahaba/udini
Subiri show,usiishi kwa kukaririNilikiri kwamba Mossad na IDF wametisha kwny intel, wakisaidiwa na US plus EU, lakini kwenye Infantry... Hakuna rangi wataacha kuiona.
Mtapoteana tena kama mlivyopoteana Nasralah alipoliwa kichwa.Hezbollah watawashinda IDF ardhini...
Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...
Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Hivi hawa israel hawaishiwi silaha+ wanajeshi? Maana tunaambiwa nchi ya israel inajumla ya watu 8m.
Endelea kuota ukiamka utuambieHezbollah watawashinda IDF ardhini...
Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...
Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Hana point huyu anaongea kihisia na anavyowaza zaidiπNdio mkuu.
Israel Wana makampuni mengi ya kutengeneza silaha Kuna Israel Aerospace Industries, Israel Military Industries, Rafael Defense Systems nkMarekani inatoa Silaha za kutosha!
Acha story bwashee. Wenzio safar hii wamejipanga usiishi kwa kukariri maisha. Hiv sasa hezbollah wamepoteana hawana mawasiliano hawana chen commanding na serikali ya Lebanon inawapa Israel infomation zote so sio kiivyo kama unavyofikiri. Na Israel sio wa kumtishia nyau mzee pale ili uishi ni kusurvive of the fittest.Hezbollah watawashinda IDF ardhini...
Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...
Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Kama mwana wa MFALME wa Saud Arabia kasema wapigwe mimi ni nani hata nipinge piga baragashia hao