Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

Mtakimbis wenyewe Lebanon afu US atanza kujidai kusimamisha vita, sa hivi anadhani wale mashoga zake israel watashinda 😄

Huwa mnanza hivi hivi mbio za sakafuni noma sana. Mkimuweza kumpiga Hezbullah, mjue mtaweza hata kuwapiga North Korea
Nilikiri kwamba Mossad na IDF wametisha kwny intel, wakisaidiwa na US plus EU, lakini kwenye Infantry... Hakuna rangi wataacha kuiona.
 
— ❗️🇷🇺 BREAKING: Putin rushes to the Kremlin for a sudden emergency meeting

@Middle_East_Spectator
Putin aache kudeal na WA Ukraine aliowashindwa Kwa miaka 2 Sasa aende kusaidia vikundi vya kigaidi, Israel is a nuclear power Siyo kama Ukraine... Hiyo emergency ni Kwa aJili ya vita yake ya Ukraine😁 na si vinginevyo
 
Au siyo kwahiyo magaidi wanaelekea kushinda 😁😁😁
Hezbollah watawashinda IDF ardhini...

Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...

Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
 
Kichwa cha Hezbollaah kilisha katwa, kilichobakia ni kiwiliwili ambacho muda si mrefu IDF inaenda kukimalizia, magaidi hawana nafasi tena dunia hii..
 
Hezbollah watawashinda IDF ardhini...

Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...

Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Mkuu huu uchambuzi wako hapa umeongozwa na mahaba/udini
 
Hezbollah watawashinda IDF ardhini...

Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...

Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Mtapoteana tena kama mlivyopoteana Nasralah alipoliwa kichwa.
 
Tuwaombee aman, lkn mm bado naamini Israeli anajua awezi kuwashinda hezbollah lkn kunatakiwa kashkash ili itafutwe aman lengo Lao wananchi waisrael waliokimbia walejee maisha yaendelee. Hii vita Sijui kama itamaliza 1week. Wanajua hezbollah bado wanajitafuta kimambo mengi. Wakichelewa kumaliza vita basi hii vita itakuwa mbaya sana upande wa Israeli uwenda mashamba ya sheba wakayakimbia.
 
Hezbollah watawashinda IDF ardhini...

Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...

Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Endelea kuota ukiamka utuambie
 
niko Congo natoa fungu la kumi Mungu aibariki Israel kila siku ibadan alafu...weweeeee
Wachewalezauso
 
Hezbollah watawashinda IDF ardhini...

Kumbuka ninachosema, tutashuhudia hapa, unless UN aingikie kati .. infantry Israel ni mlenda...

Covert ops za kuua viongozi si sawa ya vita ya askari wa miguu, hapo kuna houthi, hamas, hezbollah, militia kutoka iraq na syria.... Israel wakiingia hapo mtashuhudia...
Acha story bwashee. Wenzio safar hii wamejipanga usiishi kwa kukariri maisha. Hiv sasa hezbollah wamepoteana hawana mawasiliano hawana chen commanding na serikali ya Lebanon inawapa Israel infomation zote so sio kiivyo kama unavyofikiri. Na Israel sio wa kumtishia nyau mzee pale ili uishi ni kusurvive of the fittest.
 
Back
Top Bottom