Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

Haziwezi kuisha kwa sababu Marekani ndiyo shughuli zake hizo kugawa silaha kila sehemu, ili tu kuhakikisha dunia yote inatawaliwa na vita na machafuko ya kila aina.

Kikubwa mbinu ndo maana wakipata target ya uhakika hawarembi wanamaliza kazi fasta
🇺🇸Americans, Are you ready to die for Israel ?

🚩 @Resista
Putin aache kudeal na WA Ukraine aliowashindwa Kwa miaka 2 Sasa aende kusaidia vikundi vya kigaidi, Israel is a nuclear power Siyo kama Ukraine... Hiyo emergency ni Kwa aJili ya vita yake ya Ukraine😁 na si vinginevyo
Waziri mkuu wake alikua Iran jana
 
Kihistoria kuna miungu mingi imejaribu sana kuifuta Israel, ikiwemo miungu ya Wafilisti, sasa huyu wa juzi wa Waarabu hana jipya atashindwa tu.
Ifahamike Israel wanalindwa, yaani jiwe ndogo la Daudi liliangusha jitu kubwa.
 
Tena anaelezea kwa mbwembwe na ushawishi wakuvutia watu wengine wahisi raha anayoipata,yaani anasisimkwa kabisa kwa furaha!.
 
israel atutembelee na sisi Tanzania huku tuone adha ya vita ili tuache kushabikia kama wapumbavu
 
 
Your browser is not able to display this video.
 
Haziwezi kuisha kwa sababu Marekani ndiyo shughuli zake hizo kugawa silaha kila sehemu, ili tu kuhakikisha dunia yote inatawaliwa na vita na machafuko ya kila aina.
Illuminate hao (USA) Wanapambana kueneza Ushoga,kila eneo wanalolipigania wanaposhinda wanahakikisha Mashoga na Wasagaji wanachukua mamlaka.
 
Acha topic za kisenge huna chanzo chochote umeshikwa ni damu ya kiyahudi ambao hata huyo mungu wako wanamtukana
 
Hoja ya wanawake na watoto ni reject
 
Aljazeera wazandiki sana aisee mtangazaji anaongelea kwa ufupi vita vya 2006 kati ya IDF na Hizbullah anakuambia casualties for IDF was about more than 250 people almost 2/3 were IDF soldiers but for Hizbullah casualties was more than 100 people mostly women and children
 
PRESS TV ni ya Iran hiyo, tuipate habari hiyo Al Jazeera
 
Wamechoka kulia Maana Hezbollah kufungwa mdomo

Yale magaidi kutoka pande zote watakuwa wamefungwa mdomo lakini huku yakishughulikiwa kinaga ubaga.

Desemba hii tukatembee mji mtakatifu Israel
 
Wamekimbilia kwenye makazi ya watu
 
Serekali ya Lebanon haitaki kabisa kujihusisha na ugomvi wa Israel na Hezbollah, hao wanajeshi wa Lebanon wameondoka kuiachia Hezbollah huo msala, ngoja tuone kama Hezbollah itahimili vipigo vya IDF
Hezbollah wamewekwa na iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…