Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

Haziwezi kuisha kwa sababu Marekani ndiyo shughuli zake hizo kugawa silaha kila sehemu, ili tu kuhakikisha dunia yote inatawaliwa na vita na machafuko ya kila aina.

Kikubwa mbinu ndo maana wakipata target ya uhakika hawarembi wanamaliza kazi fasta
🇺🇸Americans, Are you ready to die for Israel ?

🚩 @Resista
Putin aache kudeal na WA Ukraine aliowashindwa Kwa miaka 2 Sasa aende kusaidia vikundi vya kigaidi, Israel is a nuclear power Siyo kama Ukraine... Hiyo emergency ni Kwa aJili ya vita yake ya Ukraine😁 na si vinginevyo
Waziri mkuu wake alikua Iran jana
 
Kihistoria kuna miungu mingi imejaribu sana kuifuta Israel, ikiwemo miungu ya Wafilisti, sasa huyu wa juzi wa Waarabu hana jipya atashindwa tu.
Ifahamike Israel wanalindwa, yaani jiwe ndogo la Daudi liliangusha jitu kubwa.
Screenshot_20240920-182044_Chrome.jpg
 
Wewe lazima una tatizo, unajiita uzalendoa wa kitanzania lakini asubu mpaka jioni ni habari za mauaji ya Israelh huko Middle East tena unazieleza kwa fahari kama vile zina manufaa kwetuy Tanzania!

Labda utujulishe, hayo mauaji ya kila siku kwa wanawake na watoto yanakupa raha gani?

Jee ungependa ufumbuzi upatikane au waendelee kufyatuliana makombora kila siku?
Tena anaelezea kwa mbwembwe na ushawishi wakuvutia watu wengine wahisi raha anayoipata,yaani anasisimkwa kabisa kwa furaha!.
 
israel atutembelee na sisi Tanzania huku tuone adha ya vita ili tuache kushabikia kama wapumbavu
 
Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas.

Jeshi la Serikali ya Lebanon limeanza kuondoka maeneo ya Mpakani na Israel kuwafungulia njia IDF wao wanasema hawahusiki.

Kamati ya Usalama inasema wanataka kuondoa takataka zote eneo lililopitishwa na UN ambalo lilitakiwa liwe chini ya UN na Jeshi la Lebanon.

Nasra-Allah nadhani alipo anajuta sana
---

Lebanese troops have pulled back from positions along Lebanon’s southern border with Israel to at least five kilometers (some three miles) north of the frontier, a Lebanese security source tells Reuters.

The pullback comes amid growing indications of an imminent Israeli ground incursion into southern Lebanon.

Similarly, a Lebanese military official tells AFP that Lebanon’s army is repositioning troops stationed on its southern border.

The Lebanese army is “repositioning and regrouping forces” at the southern border following threats of an Israeli incursion against Hezbollah targets, the official says, requesting anonymity to
 
Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas.

Jeshi la Serikali ya Lebanon limeanza kuondoka maeneo ya Mpakani na Israel kuwafungulia njia IDF wao wanasema hawahusiki.

Kamati ya Usalama inasema wanataka kuondoa takataka zote eneo lililopitishwa na UN ambalo lilitakiwa liwe chini ya UN na Jeshi la Lebanon.

Nasra-Allah nadhani alipo anajuta sana
---

Lebanese troops have pulled back from positions along Lebanon’s southern border with Israel to at least five kilometers (some three miles) north of the frontier, a Lebanese security source tells Reuters.

The pullback comes amid growing indications of an imminent Israeli ground incursion into southern Lebanon.

Similarly, a Lebanese military official tells AFP that Lebanon’s army is repositioning troops stationed on its southern border.

The Lebanese army is “repositioning and regrouping forces” at the southern border following threats of an Israeli incursion against Hezbollah targets, the official says, requesting anonymity to discuss sensitive matters.

Times of Israel
 
Haziwezi kuisha kwa sababu Marekani ndiyo shughuli zake hizo kugawa silaha kila sehemu, ili tu kuhakikisha dunia yote inatawaliwa na vita na machafuko ya kila aina.
Illuminate hao (USA) Wanapambana kueneza Ushoga,kila eneo wanalolipigania wanaposhinda wanahakikisha Mashoga na Wasagaji wanachukua mamlaka.
 
Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas.

Jeshi la Serikali ya Lebanon limeanza kuondoka maeneo ya Mpakani na Israel kuwafungulia njia IDF wao wanasema hawahusiki.

Kamati ya Usalama inasema wanataka kuondoa takataka zote eneo lililopitishwa na UN ambalo lilitakiwa liwe chini ya UN na Jeshi la Lebanon.

Nasra-Allah nadhani alipo anajuta sana
---

Lebanese troops have pulled back from positions along Lebanon’s southern border with Israel to at least five kilometers (some three miles) north of the frontier, a Lebanese security source tells Reuters.

The pullback comes amid growing indications of an imminent Israeli ground incursion into southern Lebanon.

Similarly, a Lebanese military official tells AFP that Lebanon’s army is repositioning troops stationed on its southern border.

The Lebanese army is “repositioning and regrouping forces” at the southern border following threats of an Israeli incursion against Hezbollah targets, the official says, requesting anonymity to discuss sensitive matters.

Times of Israel
Acha topic za kisenge huna chanzo chochote umeshikwa ni damu ya kiyahudi ambao hata huyo mungu wako wanamtukana
 
Wewe lazima una tatizo, unajiita uzalendo wa kitanzania lakini asubuhi mpaka jioni ni habari za mauaji ya Israel huko Middle East tena unazieleza kwa fahari kama vile zina manufaa kwetu Tanzania!

Labda utujulishe, hayo mauaji ya kila siku kwa wanawake na watoto yanakupa raha gani?

Jee ungependa ufumbuzi upatikane au waendelee kufyatuliana makombora kila siku?
Hoja ya wanawake na watoto ni reject
 
Aljazeera wazandiki sana aisee mtangazaji anaongelea kwa ufupi vita vya 2006 kati ya IDF na Hizbullah anakuambia casualties for IDF was about more than 250 people almost 2/3 were IDF soldiers but for Hizbullah casualties was more than 100 people mostly women and children
 
PRESS TV ni ya Iran hiyo, tuipate habari hiyo Al Jazeera
 
Aljazeera wazandiki sana aisee mtangazaji anaongelea kwa ufupi vita vya 2006 kati ya IDF na Hizbullah anakuambia casualties for IDF was about more than 250 people almost 2/3 were IDF soldiers but for Hizbullah casualties was more than 100 people mostly women and children
Wamechoka kulia Maana Hezbollah kufungwa mdomo

Yale magaidi kutoka pande zote watakuwa wamefungwa mdomo lakini huku yakishughulikiwa kinaga ubaga.

Desemba hii tukatembee mji mtakatifu Israel
 
Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas.

Jeshi la Serikali ya Lebanon limeanza kuondoka maeneo ya Mpakani na Israel kuwafungulia njia IDF wao wanasema hawahusiki.

Kamati ya Usalama inasema wanataka kuondoa takataka zote eneo lililopitishwa na UN ambalo lilitakiwa liwe chini ya UN na Jeshi la Lebanon.

Nasra-Allah nadhani alipo anajuta sana
---

Lebanese troops have pulled back from positions along Lebanon’s southern border with Israel to at least five kilometers (some three miles) north of the frontier, a Lebanese security source tells Reuters.

The pullback comes amid growing indications of an imminent Israeli ground incursion into southern Lebanon.

Similarly, a Lebanese military official tells AFP that Lebanon’s army is repositioning troops stationed on its southern border.

The Lebanese army is “repositioning and regrouping forces” at the southern border following threats of an Israeli incursion against Hezbollah targets, the official says, requesting anonymity to discuss sensitive matters.

Times of Israel
Wamekimbilia kwenye makazi ya watu
 
Back
Top Bottom