Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Wadau hamjamboni nyote?

Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel

Mayahudi hawaamini kilichotokewa

Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia

Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:

Mungu ibariki Israel.

Soma Pia: Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine
---
IDF: Over 90 rockets fired at Haifa area in two barrages; homes, cars damaged in multiple impacts

By Emanuel Fabian

More than 90 rockets were launched from Lebanon at the Haifa Bay area a short while ago, the IDF says.

In the first barrage of 80 rockets, the IDF says that most were shot down by air defenses, but several struck inside towns.

The second barrage consisted of 10 rockets, all of which the IDF says were either intercepted or hit open areas.

Damage was caused to homes and cars in Kiryat Ata, and a teenager was slightly hurt by glass shards.

It marks one of the largest rocket attacks on the port city amid the fighting with Hezbollah. On October 8, 2024, Hezbollah launched over 100 rockets at Haifa in two barrages.
IDF who wana intercept rocket kama inalenga high value asset ila kama inaangukia open area wanaziachq ndio rocket 90 hata mbwa mmoja hajafa
 
Hata huyo mmoja hakutakiwa kujeruhiwa wao wana vitu vyao wanavyovitaka na ndio wanavyo vipata kama kuua raia ndio ushindi israhell angekua kashakomboa magaidi wake waliotekwa na hamas na kuifuta hamas munatamani wana muqawwamaah wasalimu amri ila mmepiga hesabu vibaya sana
Wana muqawama wanarambishwa udongo kila kukicga!!
 
Pawake tuu! Kikubwa kusiwe na kelele, wachapane tujue mbabe nani. 😁
 
H
Mnarusha makombora 80 mnajeruhi Mtu mmoja Israel ikijibu makombora kadhaa mnakufa 300 hii vita inakula kwenu.

Nyanyueni kitambaa cheupe na muombe AMANI.
Haha 😄 🤣 😂 😆 wana muqawama ni mahayawani
 
Kwa mujibu wa wavaa vipedo/ makobazi wana muqawana wa buza kwa lulenge makombora 90 ya magaidi ya kiislamu Hisbollah kujerehu wayahudi wa4 ni mafanikio
 
Umeambiwa most of them yamedakwa kizungu huelewagi wewe! Rudia tena kusoma.
Je madhara yalitokea ama hayakutokea!?
Embu soma hapo chini.
Screenshot_20241111-213625.jpg
 
Qur an ipi ingawaje zayuni anatakiwa kuuliwa popote alipo

Qur an ipi ingawaje zayuni anatakiwa kuuliwa popote alipo
“Allah’s Messenger said, “The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. ‘O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him.’”
 
“Allah’s Messenger said, “The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. ‘O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him.’”
Sura gani aya ya ngapi
 
Back
Top Bottom