Hezbollah yafanya shambulizi kubwa Jiji la bandari la haifa Israel kwa kurusha maroketi 90, yasababisha uharibifu mkubwa

Wanapenda kujitoa akili kweli kweli. Mistari iko wazi but watakavyobisha sasa! Mgaidi wanaitumia hivyo hivyo ilivyo. Kuficha aibu utasikia wale hawafuati deen!

Ibn Masood said "I said to the Prophet"
"Does the hour have a knowledge that you can know it by?"

He said "Yes, Oh Ibn Masood".
And Muslims have to know these signs
so they recognise them when they see them. And there are many signs
One of the signs:

1)Children become filled with rage
2)Rain becomes burning or acidic. Acid rain.
3)You'll see evil people spreading widely.

"Oh, Ibn Masood from the signs and conditions of the Hour is that;

4) People will trust treacherous people
and they will consider trustworthy people treacherous .
5)The truthful one will be called a liar and the one telling a lie will be called truthful.
6)The dishes will be communicating continuously.
7) People will sever their family ties.

Oh, Ibn Masood from the signs and conditions of the Hour is that;

7) You will see hypocrites rulling.
8) And you will see the worst people controlling the market places.

Oh, Ibn Masood from the signs and conditions of the Hour is that;

9) You will have ornamental mosques but the heart would be ugly.

Oh, Ibn Masood from the signs and conditions of the Hour is that;

10) The bealiver will be more humiliated than the ugly goat (like nothing).

Oh, Ibn Masood from the signs and conditions of the Hour is that;

11) You will see homosexuality and lesbianism widespread.
12) You will see young people having massive wealth.
13) And you will see movements to corrupt the women.
14) You will see the destruction of civilisation.

Oh, Ibn Masood from the signs and conditions of the Hour is that

15) Musical instruments will be widespread, musical instruments will be on their head.
-------------

Hadithi ni ndefu ila tutaishia hapa! Hadithi hii unaielewaje!
 
ndugu yangu, usishangilie vita, hata ushangilie vipi ila kipigo walichokipata hezbollah ni kikubwa, a very big loss. cha kuomba tu Mungu vita iishe maana watu wanaisha. najua unatamani Israel ifutike, jambo ambalo utakufa utaiacha nzima kama ilivyo na ikiendelea kupiga hatua kimaendeleo. binafsi nawaonea huruma hezbollah, kwamba entire leadership yote ilifyekelewa mbali, magorofa ambayo walikuwa wamepangisha wanaingiza kipato cha chama chao yamefyekwa karibia yote, kila kilicho cha hezbollah kimefyekwa, na bado kuna kipofu atakuja hapa kusema israel imepigwa sana na hezbollah, hezbollah noma, israel inawaogopa hezbollah...it takes kujiondoa ubongo wote ubaki na kopo ndio ufikirie hivyo.

 
Hahaa, complete opposite way ya kuilinda nchi
 
Wazayuni wa jf mlijua kuua uongozi ndio kuishinda hizbullah hizbullah wote wale viongozi vipi wazayuni mlosema watarejea kule wameregelea ama
 
Kwahiyo safar hii kwakuwa mna uhakika wa kuwashinda wayahudi basi ndio itakuwa kiama sio?

Dunia nzima Ina watu wangapi mpaka nyinyi kumshinda myahudi ndio iwe kiama?

Doesn't make sense.
Ina make kwa watu wenye akili pekee
 
“Allah’s Messenger said, “The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. ‘O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him.’”
Nukuu yako ya awali ni hii!! "Lengo la Magaidi ni kuua Wayahudi kama Quruani ilivyoamrisha sema kila mkiua Myahudi mmoja wanauwawa Waarabu 50+ ndio maana Akili zinaanza kuwarejea"
----------------------
Kuna aya kwenye Qur'an Mungu anamwambia Mtume......! "Mtume waambie hao! Kuna watu kwenye vitendo vyao duniani walivyovifanya wamepata hasara".....Yaani wamepata shoti! Akina nani hao!

Aya inaendelea inasema;
"Wale ambao itikadi yao duniani imepotea lakini wenyewe wanadhani wako vizuri. Hao ni Wale waliyomkufuru (wamekufuru aya za Mola wao hawajijui kama wamekufuru), amali zao zimeporomoka. Siku ya Qiyama kwenye mizani amali zao hazipimwi kwa kuwa hazipo! Hawa malipo yao ni moto wa Jehannam (kutokana na yale waliyokufuru wenyewe hawajijui kama wamekufuru)."

Aya inamalizia inasema....
"Wao aya zetu wamezichukulia mzaha mzaha na mitume yetu wakachukulia mzaha mzaha".

Yaani ikitajwa aya ya Mungu ni lazima urudi kwa wanawachuoni wamesemaje kuhusu hii aya! Ili wewe usije ukachukulia mzaha mzaha. Kwa sababu ukitafsiri wewe utakuwa unaleta mzaha!

Kila kitu kina miiko!

Mtume amesema: Man qaala fii kitabillahi biraaihi......"

(Mtu alosema kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu akatumia rai yake, Mapema makazi yake ajiandae motoni).

Awe muislam au asiwe muislam. Ukitumia rai yako mapema makazi yake ujiandalie motoni. Aya/Hadithi yoyote unayoiona urudi kwa mwana wa chuoni. Yaani Wanawachuoni wanasemaje aya hii maana yake ni nini!

Nikupe faida, hadithi inasema; manistawa wamanisttaraqa faqad Bay Al minattawakkul". Tarjum yake: Aliyetibu na aliye kwenda kwa tabibu ili apate tiba, Mtu huyo yupo mbali na kumtegemea Mungu.

Hadithi hiyo na sahih: Kwa hadithi hii utasema watu wasiende Muhimbili au kwenda kwa masheikh kupata ruqya?!

Sasa huwezi kutoka hapo mpaka uwaone wanawachuoni. Wanawachuoni ndiyo watakuambia hapa! Aya hii ni dhwahiru nafsu! Ni dhahiri ya nafsi! Yu-utabalu ta-a-wiil (inabeba maana), ina maana yake.

Maana ya hiyo hadithi ni kwamba; Aliyetibu akaitikadi kwenye itikadi yake kwamba ana uwezo wa kutibu bila kujua kwamba yeye ni tawassuli tu (sababu tu) kwamba hakika anayetibu ni Mungu, yeye tabibu ni sababu tu, hakuitikadi hivi kajipa uwezo mwenyewe, huyu yupo mbali na kumtegemea Mwenyezi Mungu. Halikadhalika na anayetibiwa akaitikadi katika itikadi yake hivyo naye yupo mbali na kumtegemea Mwenyezi Mungu.

Sasa ukichukua dhwahiru nafsu ileile iliyokuja nzima nzima bila kumpata mwanawachuoni akutafsirie utaharibu. Unapochukulia maana kichwani mwako wewe unaleta mzaha.

Zingatia tulipotoka:"......Wao aya zetu wamezichukulia mzaha mzaha na mitume yetu wakachukulia mzaha mzaha".

Nikupe faida:
Qur'an inasema; " waaqimu sswalaa" na simamisheni sala. Sasa mtu akisimamisha sala inaendelea? Mbona waislamu wanasali? Wanavunja aya?

Au kuna aya nyengine inasema: Faidha qaraatal Qur'ana fastaidhu billahi minash shaytwaani rrajiim. Aya hapa inaonyesha kwamba ukimaliza kusoma Qur'an usome audhubillahi minash shaytwaani rrajiim.

Sasa ukimaliza kusoma Qur'an kisha umalizie audhubillahi minash shaytwaani rrajiiim. Ukifanya hivi utachekesha waliyonuna.

Lazima umfuate mwanawachuoni akutafsirie faidha aradta antaqra Al Qur'ana..unapotaka kusoma Qur'an kwanza ulete audhubillahi minash shaytwaani rrajiiim.

Sasa wewe unapokuwa unachukua nzima nzima utakuwa unafanya mzaha!

Halikadhalika na wewe hiyo hadithi uliyoiweka lazima urudi kwa wanawachuoni kuwa hapa pamemaanishwa nini! Ukibeba maana yako au ukiwa unaficha maana wewe mwenyewe utakuwa unaleta mzaha.

Baada ya hayo mnaweza mkaendelea na mjadala wenu.
 
Ila bado wavaa nepi wenzio watapelekewa tu moto
Hahahhaha kiufupi magaidi mmeisha mwendo wa kulamba udongo. Gaidi wa Hisbollah alienyakwa kama kuku na IDF kauza ramani
 

Attachments

  • main-qimg-d536faf8106d2e4cdcafabc6a289f2da.jpeg
    62.3 KB · Views: 1
Hahahhaha kiufupi magaidi mmeisha mwendo wa kulamba udongo. Gaidi wa Hisbollah alienyakwa kama kuku na IDF kauza ramani
Ila bado magaidi wenzenu kule Haifa wanakimbizana kama kuku kaona kipanga
 
Kwanza msimsingizie Mungu/Ngai ambaye huwa haongei huyo Allah pia amewadanganya na Story zake za kutunga don't take it seriously Story za uongo uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…