Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

Kwani hiyo pressure ilianza wiki jana mkuu jitahidi kua objective katika kuchambua masuala haya, Israel haiheshimu mazomio ya UN mpaka vita iwe mbaya kwake ndo anze kuaguayolia.
Un hawana nguvu kwa israel but US and the west, hao ndio walikuwa key players kwneye kusitisha haya else angeendelea na operation

So kusema hezbollah ameshinda , not even close, matter of fact walikuwa outgunned maeneo mengi
 
Mtu muoga na asiye na mbinu wala uwezo wa kivita, ndivyo alivyo

Huo ushindi Hizibolla anaousema hapa ni upi?

Maana tageti na lengo la Israel tayari limeshatimia

Kula vichwa vyote vya viongozi wa Hizibolla na kudhofisha kabisa uwezo wa kundi hilo, ndilo limefanikiwa sana kwa upande wa Israel
Naww tuwambie ushindi wa Israel ni ipi ukusema lengo la Israel kuuwa viongozi la pili iumeseme imezoofisha uwezo wa Hezbollah tuanze la kwanza sio kweli aitotokuwa kweli lengo la Israel kuuwa viongozi lengo lake lilikuwa kama kuwaJAM wanapiganaji wa Hezbollah lkn ilionekama ni ngumu kwakuwa umeuwa uyu kesho wameteuwa uyu na msingi wao upo vilevile unaletewa moto kama wapo Hai kina Nasrallah. lapili unesema wamefanikiwa kudhoofisha kabisa uwezo wao hii nayo chai ya mchana sababu ingekuwa kweli usemacho jua Hii vita isingesitishwa mfano upo apo Gaza wameona Gaza awawasumbui vita awataki kusitisha wala kufanya mazungumzo yyte. Mzee Hezbollah kundi litwalo la kigaid na Israel na marakani na juzi tu wamewauwa IDFwajeda 130 viwete kibao majumba kibao viwanda kibao kambi za jeshi kibao ukiona marekani na Israel wamekaa chini kukubaliana kuwausu Hezbollah wakapeama vipengele kila mmoja afate. Kaka jua Hezbollah wamoto sio poa usisaau vita vyote kati ya IDF na HEZBOLLAH IDF inakuwa na lengo kuvunja iyo Hezbollah kabisa ili kuondosha kitisho kufanya ule upande uwe salama kwao lkn IDF inaangukia pua.
 
Hahaha hizi akili za magaidi ni shida sana, yana roho ngumu kama kunguni. Hayafi yote usipotumia njia sahihi kuyaua.

Kunguni hawapingwi nyundo, ukigundua godoro lina kunguni dawa ni kulichoma moto tu, lakini sijui kulianika juani, mara kupulizia dawa, huwa wanalewa dawa tu, kisha wanaamka wanaanza kukuuma upya kabisa.

Sasa ona wameomba cease fire, wamekubaliwa, wao wanajitangazia ushindi.

ISrael haipaswi kusikiliza mtu, ipige sumu angani na ardhini yafe hadi mayai.
 
Sahihi
 
View attachment 3164288

Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao kurejea katika miji na vijiji vyao, hasa kusini mwa Lebanon.

Hayo yamejiri katika taarifa iliyotolewa na chama hicho Jumatano jioni, ambapo kilihutubia, kikijivunia kile kinachoita ni ushindi na kuwataka raia wake kurejea katika maeneo yao kwa fahari na ujasiri."

Taarifa hiyo ilieleza kuwa mashambulizi ya kijeshi ya Hezbollah yalifikia 4,637, tangu kuanzishwa kwa kile kinachojulikana kama "Mafuriko ya Al-Aqsa" Oktoba 7, 2023, kwa kasi ya operesheni 11 kwa siku.

Hezbollah ilisema kuwa upande wa Israel ulipoteza wanajeshi 130 wakati wa uvamizi wa ardhini nchini Lebanon, pamoja na vifaru 59 vya Merkava na ndege nane zisizo na rubani, ikibainisha kuwa hasara hiyo haijajumuisha yale yaliyofanyika huko upande wa Israel katika ngome, kambi za kijeshi, makazi na miji iliyokaliwa kimabavu.”

Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa "ujumbe huo ni kwa ajili ya jeshi ambalo liliweza 'kuangusha' malengo ya Israel na 'kulishinda jeshi lake'," na kuongeza kuwa wapiganaji wake "watasalia tayari kikamilifu kukabiliana na nia ya mashambulizi ya adui, Israel, na kwamba macho yao yataendelea kufuatilia mienendo na uondoaji wa majeshi ya adui nje ya mipaka yake."
Je wa hezbollah wao hawajafa na hawajapoteza chochote je wako wapi viongozi wao kina Nasrullah, fuard shukur, je na wale waliolipuliwa na pagers hawana vidole, miguu, utumbo uko nje, hawana makagari
 
Ndio mana Hezbollah kwasasa aiyonekani kutaka kuvuka mpaka kwenda ndani ya Israel sababu wanajua malengo makuu ya IDF lazima kila vita watakuja na mbinu mpya lkn lengo kuuu ni IDF ije Lebanon kuivunja Hezbollah ndio unawaona Hezbollah wanapigania kwao zaid uku wakiwa na mitego lukuki kumzuia IDF asifanikiwe lengo lake fatilia vita zote lazima IDF ije na mbinu na kuvuka mpaka wakivuka umbali kidogo ndio Hezbollah wanaanza kuwawashia moto mwisho IDF wanakimbia kulejea kwenye mipaka yao uku vijana wajeda wa IDF wakibeza mbinu waliofundishwa vita zote3 kubwa msingi uko ivo wajuba wa Hezbollah wananizam na mbinu bora za kumzuiya adui. Lkn lazima niseme ukweli IDF wanajua ukubwa wa madhalla ya kuvamia kule Lebanon wanajua wale majeneral Hatari kubwa lkn mbinu hii awawezi kuacha wataendelea ivi ivi siku za mbele adi wafanikiwe au awakufanikiwa lkn IDF wamefanikiwa kuwafanya Hezbollah wajue IDF wanania ya kuja kuwavunja vunja hii kitaalam inafanye Hezbollah waziwaze kuivamia mipaka ya IDF kwaio bila galama izi IDF anapitia vifo na mengine. Yumkin bila kuwafata kule Hezbollah watataka kuvuka mpakawao apo sasa IDF itagalamika kukubwa zaid kuliko izi galama za sasa.
 
Mkuu jeshi la Israel wamefanikiwa kuua raia wasio na hatia Lebanon wapato 3800 lakini pia hasara kwa baadhi ya majengo marefu zaid pale Beirtu yameangushwa
Nasrullah , fuad shukur na wale waliouawa na pagers ni raia sio hezbollah unaona propaganda za wafia dini mnatangaza vifo vya wanamgambo wenu kama vifo vya raia
 
mbona mayahudi wamechomoa bas
Ukioata jibu kwa nn marekani na mdg wake haeataka kutoka gaza ni kuwa pale gaza wana comfort zone ni put na mdomo na Israel halafu wanaleti thar kwa Israel sasa kule Lebanon wanawapa kisago na thret kwa Israel na marekani wee angalia wanajeshi wao waliokufa nyumba ya Netanyahu ipo targeted Biden ameona wateme bungo sasa pale gaza wako safe kupiga mahospital
 
View attachment 3164288

Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao kurejea katika miji na vijiji vyao, hasa kusini mwa Lebanon.

Hayo yamejiri katika taarifa iliyotolewa na chama hicho Jumatano jioni, ambapo kilihutubia, kikijivunia kile kinachoita ni ushindi na kuwataka raia wake kurejea katika maeneo yao kwa fahari na ujasiri."

Taarifa hiyo ilieleza kuwa mashambulizi ya kijeshi ya Hezbollah yalifikia 4,637, tangu kuanzishwa kwa kile kinachojulikana kama "Mafuriko ya Al-Aqsa" Oktoba 7, 2023, kwa kasi ya operesheni 11 kwa siku.

Hezbollah ilisema kuwa upande wa Israel ulipoteza wanajeshi 130 wakati wa uvamizi wa ardhini nchini Lebanon, pamoja na vifaru 59 vya Merkava na ndege nane zisizo na rubani, ikibainisha kuwa hasara hiyo haijajumuisha yale yaliyofanyika huko upande wa Israel katika ngome, kambi za kijeshi, makazi na miji iliyokaliwa kimabavu.”

Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa "ujumbe huo ni kwa ajili ya jeshi ambalo liliweza 'kuangusha' malengo ya Israel na 'kulishinda jeshi lake'," na kuongeza kuwa wapiganaji wake "watasalia tayari kikamilifu kukabiliana na nia ya mashambulizi ya adui, Israel, na kwamba macho yao yataendelea kufuatilia mienendo na uondoaji wa majeshi ya adui nje ya mipaka yake."
Aisee jinsi hezbollah walivyokuwa wapambwa na wafia dini niliwaogopa nikajua wana nguvu mara hezbollah wana makombora laki na nusu israel itageuzwa majivu nilipoona israel inasogeza jeshi mpakani mwa lebanon nikajua israel inacheza na moto mara nikasikia Nasrullah kaliwa kichwa, mara fuad shukur mara israel anashambulia kusini mwa lebanon mpaka beirut na jeshi la nchi kavu limevuka mto litani nikawaona hezbollah kiongozi wao katoroka kaenda kujificha Iran na wanaomba ceasefire ili hali walisema ceasefire mpaka muache kushambulia gaza kumbe kundi lenyewe la hezbollah ni mdebwedo hivi bora hata hamas wamejitahidi kupigana na kujifichia kwenye miundombinu ya raia wamekaa na mateka muda mrefu haya makundi hayana lolote ni midomo tu
 
View attachment 3164288

Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao kurejea katika miji na vijiji vyao, hasa kusini mwa Lebanon.

Hayo yamejiri katika taarifa iliyotolewa na chama hicho Jumatano jioni, ambapo kilihutubia, kikijivunia kile kinachoita ni ushindi na kuwataka raia wake kurejea katika maeneo yao kwa fahari na ujasiri."

Taarifa hiyo ilieleza kuwa mashambulizi ya kijeshi ya Hezbollah yalifikia 4,637, tangu kuanzishwa kwa kile kinachojulikana kama "Mafuriko ya Al-Aqsa" Oktoba 7, 2023, kwa kasi ya operesheni 11 kwa siku.

Hezbollah ilisema kuwa upande wa Israel ulipoteza wanajeshi 130 wakati wa uvamizi wa ardhini nchini Lebanon, pamoja na vifaru 59 vya Merkava na ndege nane zisizo na rubani, ikibainisha kuwa hasara hiyo haijajumuisha yale yaliyofanyika huko upande wa Israel katika ngome, kambi za kijeshi, makazi na miji iliyokaliwa kimabavu.”

Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa "ujumbe huo ni kwa ajili ya jeshi ambalo liliweza 'kuangusha' malengo ya Israel na 'kulishinda jeshi lake'," na kuongeza kuwa wapiganaji wake "watasalia tayari kikamilifu kukabiliana na nia ya mashambulizi ya adui, Israel, na kwamba macho yao yataendelea kufuatilia mienendo na uondoaji wa majeshi ya adui nje ya mipaka yake."
Kwa mdomo wamefuzu!
Waliingia vitani kuisaidia gaza!
Gaza Inalia Kwa Kusalitiwa hizbula!;
Kipondo kinaendea!

Lengo la hizbula ni kuinusuru Gaza zidi ya kipondo Cha Yahudi!
Wameisaliti Gaza Kwa kushindwa Kwao!
Gaza Inalia kipondo kinaendelea!
👇👇
Al Jazeera
See this story on our app
VIEW IN APP
LIVE
Sign up
Open the menu

Updates: At least 84 killed in Gaza;
UN should consider suspending Israel over genocide, says special rapporteur
By Alastair McCready, Dalia Hatuqa, Urooba Jamal, Tamila Varshalomidze and Federica Marsi

For more on why is Israel targeting Lebanon’s ancient city of Baalbek, check out our explainer here.

View our phot gallery to see how Israel is targeting of.

To know why the UN should consider suspending Israel over the genocide of Palestinians in Gaza and its decades-long illegal occupation of Palestinian land, go here.
Here’s what happened today
We will be closing this live page soon but before we do that, here is a recap of the day’s main developments:

Two Israeli attacks on residential buildings in northern Gaza killed 84 Palestinians, including over 50 children.
 
Naww tuwambie ushindi wa Israel ni ipi ukusema lengo la Israel kuuwa viongozi la pili iumeseme imezoofisha uwezo wa Hezbollah tuanze la kwanza sio kweli aitotokuwa kweli lengo la Israel kuuwa viongozi lengo lake lilikuwa kama kuwaJAM wanapiganaji wa Hezbollah lkn ilionekama ni ngumu kwakuwa umeuwa uyu kesho wameteuwa uyu na msingi wao upo vilevile unaletewa moto kama wapo Hai kina Nasrallah. lapili unesema wamefanikiwa kudhoofisha kabisa uwezo wao hii nayo chai ya mchana sababu ingekuwa kweli usemacho jua Hii vita isingesitishwa mfano upo apo Gaza wameona Gaza awawasumbui vita awataki kusitisha wala kufanya mazungumzo yyte. Mzee Hezbollah kundi litwalo la kigaid na Israel na marakani na juzi tu wamewauwa IDFwajeda 130 viwete kibao majumba kibao viwanda kibao kambi za jeshi kibao ukiona marekani na Israel wamekaa chini kukubaliana kuwausu Hezbollah wakapeama vipengele kila mmoja afate. Kaka jua Hezbollah wamoto sio poa usisaau vita vyote kati ya IDF na HEZBOLLAH IDF inakuwa na lengo kuvunja iyo Hezbollah kabisa ili kuondosha kitisho kufanya ule upande uwe salama kwao lkn IDF inaangukia pua.
Sijaelewa, na hii ni kwa sababu ya mwandiko mbovu, utakapoanza kuandika vizuri ndio utaruhusiwa kuni quote

Kwa sasa jifunze tu kuandika
 
Madrasa inafanya kazi ndugu yangu
Huwa wanaona watu hawana akili njema!Na wameambiwa wakienda kinyume na masharti watachezea mfueni wa nguvu,kukamatwa na kutupwa kwenye jela ngumu,familia zao kuona cha mtema-kuni kwa uvamizi wa nguvu kijeshi na mengineyo magumu sana.Halafu mtu anakuja kudanganya watu wazima humu JF!
 
Hezbolaha waongo,waliahidi kipigana mpaka Israeli iondoke Gaza,Israeli bado ipo Gaza na inaendeleza kipondo

Israeli ili waonya waache kuingilia ugomvi wake na Hamasi wakagoma Sasa Leo wapondwa na wamekubali hawataingilia Tena kuwasaidia Hamasi

Israeli pia opareshi yake ilikuwa kuwaondoa Hezbollah kwenye mpaka wake Ili raia warudi na Hilo lengo limetimia

Wenye akili hatudanganyiki na na uongo wa kitoto
Ongezea na hii ukisikia ukinipiga unanionea na ukiniacha unaniogopo ndio hii.
Screenshot_20241128-185245_1.jpg
 
Mtu muoga na asiye na mbinu wala uwezo wa kivita, ndivyo alivyo

Huo ushindi Hizibolla anaousema hapa ni upi?

Maana tageti na lengo la Israel tayari limeshatimia

Kula vichwa vyote vya viongozi wa Hizibolla na kudhofisha kabisa uwezo wa kundi hilo, ndilo limefanikiwa sana kwa upande wa Israel
Kwani kobazi huwa wana akili unadhani?
 
Muslims vita zaote wanasema wameshinda.. yaani kwao kuwashinda ni uwamalize ila wakibakia basi kwao ni Ushindi wa Allah... wasameheni akili za Madrasa.. Houthi pia washaweka siku ya ushindi wa kuweza kuua myahudi kwa Drone pale Tel Aviv japo walikula kichapo after ila walitangaza ushindi.

Jordan nao walidundwa wakanyang'anywa Jerusalem after wakatangaza wameshinda vita didi ya Israel... ni kichekesho sana watu wa Myaaz..

Sasa Hezbollah wapo Taaban wanadai wameishinda Israel? Even Iran kamanda wao mkuu asiye na akili anasema Hezbollah wameshinda na Israel ndio kaomba PO.. kwenye website ya PressTV wanafuta comment tu kwa kichekesho ya jemedari wao alichokitoa jana.. wanawatoa walebanese mhhanga kwa raha zao Iran
 
Back
Top Bottom