Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

Hezbolaha waongo,waliahidi kipigana mpaka Israeli iondoke Gaza,Israeli bado ipo Gaza na inaendeleza kipondo

Israeli ili waonya waache kuingilia ugomvi wake na Hamasi wakagoma Sasa Leo wapondwa na wamekubali hawataingilia Tena kuwasaidia Hamasi

Israeli pia opareshi yake ilikuwa kuwaondoa Hezbollah kwenye mpaka wake Ili raia warudi na Hilo lengo limetimia

Wenye akili hatudanganyiki na na uongo wa kitoto
Israhell iliahidi kuangamizwa Kwa hizbullah mpaka sasa bado ipo waliahidi pia wakazi wa kaskazini kurudi ila mpaka sasa Hola mwisho wakasema kwamba hawaongei na magaidi ila wamekubali kuongea
 
Hahaha hizi akili za magaidi ni shida sana, yana roho ngumu kama kunguni. Hayafi yote usipotumia njia sahihi kuyaua.

Kunguni hawapingwi nyundo, ukigundua godoro lina kunguni dawa ni kulichoma moto tu, lakini sijui kulianika juani, mara kupulizia dawa, huwa wanalewa dawa tu, kisha wanaamka wanaanza kukuuma upya kabisa.

Sasa ona wameomba cease fire, wamekubaliwa, wao wanajitangazia ushindi.

ISrael haipaswi kusikiliza mtu, ipige sumu angani na ardhini yafe hadi mayai.
Wangekua wanaweza si wangefanya israhell kapelekewa moto mpaka kakubali kukaa chini na magaidi
 
Wahuni tu bao Hezbulah...viongozi wao wengi wa juu wamelambishwa udongo huku miji yao hasa kusini ya Lebanon imeharibiwa vibaya majengo na miundombonu muhimu ya maji na umeme.
Wazayuni kama miji yao haija haribiwa mbona wamehama kaskazin
 
Pima uwezo wa kijeshi. Hezbollah wanarusha makombora toka mbali, Israel wameingiza jeshi mpaka Lebanon ndani. Askari wa Israel 130 wamekufa, raia 3800 na Viongozi wote wa Hezbollah wamekufa. Majengo yote ya jeshi la Hezbollah na majengo makubwa yamevunjwa. Tuambie tena nani mshindi nani ameshindwa.
Alokwambia kama ushindi wa vitani Unapimwa kwa kufa watu wengi na uharibifu mkubwa nani
 
imekuwaje ICC wakatoa hati ya kukamatwa kwa waziri mkuu wa israel kama si kelele za nje?
Unajua ni mataifa mangapi yamepeleka petition against israel?
Mwishowe hata washirika wake wakamgeuka?

Imagine kusingekuwa na kelele na dunia isingejali kinachoendelea lebanon?
Kama kelele za nje hata kiongozi wa Hamas nae katolewa warranty yakukamatwa
 
hez walishawahi kufanya operation ndani ya israel au inarusha tu makombora kutokea kwa lebanon
 
Maana ya kudhoofisha kundi ni kitendo ambacho kundi haliwezi kufanya oparation zake kwa wakati na kuishiwa man power na weapons lakini mpaka siku ya mwisho nusu saa kabla ya sizi faya hizb kalipua Zaid ya rockets 200 kaktk nusu kabla ya sizi faya na kalipua wanamgambo wa Israel waliokua wana retreat kurudi nyuma na zisi faya isingekuwa serikali ya Lebanon msingefikia makubaliano nao never! Ipo siku hzb wataifurusha serikali ya Lebanon ndio inawaletea usiku
Hizi tena ni chumvi, fuatilia ripot ya Hizibolla nini wamesema katika kile wamemtia hasara Israel

Ni wana jeshi 130, dron 20, ndege vita 0 n.k
 
Israhell iliahidi kuangamizwa Kwa hizbullah mpaka sasa bado ipo waliahidi pia wakazi wa kaskazini kurudi ila mpaka sasa Hola mwisho wakasema kwamba hawaongei na magaidi ila wamekubali kuongea
Hezbollah wameambiwa waondoke ktk mpaka kusini,na wananchi wa pande zote mbili Israeli na Lebanoni wanarudi ktk makazi Yao kama hueliwi BBC basi hata Aljezeera fungua update ufahamu naona Bado hujajua kinachoendelea

Israeli alikuwa tangu mwanzo alikuwa anapambana na Hamasi,Hezbolah akaja kimsaidia Hamas alikanywa hakusikia na akasema haachi mpaka Gaza iwe huru,akapondwa na yeye Sasa amekubali kutulia licha kwamba Hamas wamekabwa bado

Ila akitaka ateketee arudie Tena,wenzao wa Houth wamepewa kitu kizito mpaka wamepunguza kimbelembele

Iran aliahidi Israel akiingia Gaza itaingilia ataingia mazima nayeye kaona moto mkali kabaki kutuma mabomu kwa mbali anashidwa hata kuinua helkopta we bado huelewi kweli
 
Leo isbola wamepigwa kipigo cha haja,sasa sijui walikuwa wanawahadaa au vp.
Hezbollah walikiuka sharti la kutojipanga upya. Walikuwa wanakusanya silaha na kuzihifadhi nyumba mojawapo ya zilizosambaratishwa.
 
Lengo kuu la hezbollah lilikuwa ni kumshinikiza Israel aachane na vita ya Gaza kitu ambacho bado israel anaendelea kurusha mabomu gaza, hapa kafaeli hezbollah.

Hezbollah wamepoteza viongozi wao wote wakuu na waliobaki hawajulikani walipo kwa hofu ya kuuawa na Israel, hapa pia hezbollah wamefeli.

Lengo la Israel lilikuwa ni kuwatoa hezbollah mpakani, hapa israel kafaulu.

Sijajua mpaka sasa hezbollah wameshinda sehemu gani.
 
Pima uwezo wa kijeshi. Hezbollah wanarusha makombora toka mbali, Israel wameingiza jeshi mpaka Lebanon ndani. Askari wa Israel 130 wamekufa, raia 3800 na Viongozi wote wa Hezbollah wamekufa. Majengo yote ya jeshi la Hezbollah na majengo makubwa yamevunjwa. Tuambie tena nani mshindi nani ameshindwa.
Hakuna hata kijiji kimoja Lebanon kuna jeshi la Israel walijaribu underground wakashindwa wenyewe na kuumizwa kuliko kuumizwa na kuuliwa, ile mission ilifeli, Hizbollah sio jeshi linaloishi magorofani, uko magorogani waliuwa raia tu hezbollah wako makini
 
Umeandika ukweli mtupu
Hezbollah ni pasua kichwa.
1. Wamesaini makubaliano bila kuyaelewa vizuri na kwa undani. Kwa mfano Hezbollah hatakiwi kuonekana kusini mwa mto Litani i.e. wamekubali kuhama na makorokoro yao kwenda Uhamishoni a.k.a. ukimbizini kaskazini ng'ambo ya mto mto Litani. Kwa lugha nyingine Israel amefanikiwa kumwondoa Hezbollah mpakani (kama lengo lilivyokuwa) mahali alipokuwa akipatumia kurusha makombora dhidi ya Israel.
2. Kimsingi Hezbollah haitambuliwi kama jeshi rasmi huko Lebanon kwa mujibu wa Cease fire Deal. Hezbollah ni kundi la kiharakati tuu na wamekatazwa kuishambulia Israel wakiwa ndani ya nchi/ardhi ya Lebanon na Jeshi rasmi la Lebanon (LAF)limepewa majukumu na mojawapo ni kuhakikisha hakuna mashambulizi yatakayotokea Lebanon dhidi ya Israel.
 
Hakuna hata kijiji kimoja Lebanon kuna jeshi la Israel walijaribu underground wakashindwa wenyewe na kuumizwa kuliko kuumizwa na kuuliwa, ile mission ilifeli, Hizbollah sio jeshi linaloishi magorofani, uko magorogani waliuwa raia tu hezbollah wako makini
Mhhh! Mkuu; hadi tunaongea hapa leo 29/11/2024 bado Hezbollah anaendelea kuhesabu vifo vya wapiganaji wake. Inakadiriwa ni 4000+ halafu ww unasema wako makini? Yani kuhesabu 1,2,3,4,5,6.......imekuwa ni shughuli kwake. Mwisho wa siku atatoa figure ya uongo.
 
Lengo kuu la hezbollah lilikuwa ni kumshinikiza Israel aachane na vita ya Gaza kitu ambacho bado israel anaendelea kurusha mabomu gaza, hapa kafaeli hezbollah.

Hezbollah wamepoteza viongozi wao wote wakuu na waliobaki hawajulikani walipo kwa hofu ya kuuawa na Israel, hapa pia hezbollah wamefeli.

Lengo la Israel lilikuwa ni kuwatoa hezbollah mpakani, hapa israel kafaulu.

Sijajua mpaka sasa hezbollah wameshinda sehemu gani.
Lengo la Israel lilikuwa kuisambaratisha HAMAS huko Gaza. Hapa tunasubiri ifike mwisho kwani bado ngoma inapigwa.
Lengo la Hezbollah kumsaidia/Kumuunga mkono ndugu yake HAMAS dhidi ya Israel lakini badala yake Hezbollah ndo kapondwa hadi amekubali cease fire. Hezbollah kashindwa hapo.
Hezbollah hakuweza kuwasaidia hata kidogo Walebanon dhidi ya kichapo kutoka IDF badala yake nchi na miundo mbinu vimevurugwa i.e. kuwepo kwa Hezbollah huko Lebanon imekuwa ni hasara kubwa mno.
 
Ushabiki sometime unafanya akili zisifaanye kazi vzr. Hadi sasa pamoja na makubaliana ya kusitisha mapigano, Jeshi la israel liko ndani kusini ya Lebano na litakaa siku 60 ili kuondoa vifaa vya na Hezbullah waje hayo maeno. Sasa Ushindi ni Upi? Acheni kushabikia vita kuna watu hasa watoto wanakufa pasipo kujitakia.
Chunga sana maneno
 
Hezbollah wameambiwa waondoke ktk mpaka kusini,na wananchi wa pande zote mbili Israeli na Lebanoni wanarudi ktk makazi Yao kama hueliwi BBC basi hata Aljezeera fungua update ufahamu naona Bado hujajua kinachoendelea

Israeli alikuwa tangu mwanzo alikuwa anapambana na Hamasi,Hezbolah akaja kimsaidia Hamas alikanywa hakusikia na akasema haachi mpaka Gaza iwe huru,akapondwa na yeye Sasa amekubali kutulia licha kwamba Hamas wamekabwa bado

Ila akitaka ateketee arudie Tena,wenzao wa Houth wamepewa kitu kizito mpaka wamepunguza kimbelembele

Iran aliahidi Israel akiingia Gaza itaingilia ataingia mazima nayeye kaona moto mkali kabaki kutuma mabomu kwa mbali anashidwa hata kuinua helkopta we bado huelewi kweli
Wamepunguza nini hakuna meli ya zayuni zinapita Red Sea 🌊 kule paka kaamua kusarenda kwa kuongea na hizbullah ambao awali alikataa katakataa kuongea nao hizbullah wapo kusini tokea 2006 makubaliano yaliwataka waondoke huko ila tumewaona wapo mpaka leo au unadhani kipengele cha kuondoka ni kipya
 
Hezbollah wameambiwa waondoke ktk mpaka kusini,na wananchi wa pande zote mbili Israeli na Lebanoni wanarudi ktk makazi Yao kama hueliwi BBC basi hata Aljezeera fungua update ufahamu naona Bado hujajua kinachoendelea

Israeli alikuwa tangu mwanzo alikuwa anapambana na Hamasi,Hezbolah akaja kimsaidia Hamas alikanywa hakusikia na akasema haachi mpaka Gaza iwe huru,akapondwa na yeye Sasa amekubali kutulia licha kwamba Hamas wamekabwa bado

Ila akitaka ateketee arudie Tena,wenzao wa Houth wamepewa kitu kizito mpaka wamepunguza kimbelembele

Iran aliahidi Israel akiingia Gaza itaingilia ataingia mazima nayeye kaona moto mkali kabaki kutuma mabomu kwa mbali anashidwa hata kuinua helkopta we bado huelewi kweli
Nanukuu:
"Israeli alikuwa tangu mwanzo alikuwa anapambana na Hamasi,Hezbolah akaja kimsaidia Hamas alikanywa hakusikia na akasema haachi mpaka Gaza iwe huru,akapondwa na yeye Sasa amekubali kutulia licha kwamba Hamas wamekabwa bado"
Hiki kifungu 👆 👆 nimekipenda.
Hezbollah alidandia mtumbwi wa vibwengo. Akayatimba.
 
Back
Top Bottom