Unaweza ukanionesha hata Kijiji kimoja alichokidhibiti Israel!?Haha based on what ? Hezbolla outsmart IDF kwenye ground battle? Zile site IDF alikuwa anazikuta ni za nani?
Vita zilikua zilipiganwa mpakani.
Naona na wewe mkuu umekua mtu wa kulishwa propaganda.Airstrike zinafanyika mle sababu adui ana ji mix na watu. if adui kazungukwa na watu always kutakuwa na collateral damages
Mimi sio fan wa kudhuru raia, but hamna namnaraia wanaweza wasipate madhara, vita vyote duniani raia ni number one victim
Wanamgambo washika silaha wapo mpakani mwa Lebanon na Israel halafu Israel inalipua Beirut kutafuta nini!?
Kama sio kuua raia kimakusudi!?
Hizbollah Kambi zao zipo mpakani na Lebanon hazipo Beirut,Beirut Kuna viongozi wa kisiasa wa Hizbollah.
Hivi inaingia akilini unaacha askari wapo mlangoni kwako unalipua raia!?
Au sisi hatujui kuwa Israel amezoea kuua raia Kwa kisingizio Cha human shield!?
Vipi kuhusu ule uongo wa hospitali ya Beirut kuwa na handaki lenye hazina za Hizbollah!?
Je hilo umelisahau!?