Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

Lete hiyo cease fire (truce) hapa tusome na kwamba hezbollah wameondoka,
Hezbollah juzi wameshangilia kwa ushindi mkubwa walioupata kutoka mazayuni ya kiyahudi na IDF, na wameionya sana Israel
Dah! Hiyo kitu mbona ipo wazi?? Andika/Google 'Cease fire Agreement Israel vs Hezbollah"
au tembelea NPR https://www.npr.org/2024/11/28/g-s1-36146/israel-hezbollah-lebanon-ceasefire-middle-east-crisis
Kuondoka kunakozungumziwa hapo usilinganishe na ile kutoka chumba hiki kuingia kinachofuata. Kuondoka ni mchakato ukizingatia ni pamoja na Wapiganaji na vifaa vyao vya kivita n.k.
 
Mimi sifanyii kazi vyanzo vya google search nilifikiri una document original ya makubaliano
 
Na Leo wamechapwa Tena. Baada ya mambo wao kulipuliwa .
 
20241127_230311.jpg

🤣🤣🤣😂
 
Mimi sifanyii kazi vyanzo vya google search nilifikiri una document original ya makubaliano
Dah! Mkuu; kwani mm ni Israeli au Lebanon(Hezbollah) hadi niwe na document oroginal ya makubaliano? Huko nilikokuelekeza ni vyanzo vinavyoaminika. Mimi si lolote wala chochote na hainisaidii chochote kuwa na hiyo doc. Original.
 
Unapotezq muda wako na mtu aliyeamini kuamini anachokiamini regardless ni uongo.
Dini ni bangi!
 
Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao kurejea katika miji na vijiji vyao, hasa kusini mwa Lebanon.

Hayo yamejiri katika taarifa iliyotolewa na chama hicho Jumatano jioni, ambapo kilihutubia, kikijivunia kile kinachoita ni ushindi na kuwataka raia wake kurejea katika maeneo yao kwa fahari na ujasiri."

Taarifa hiyo ilieleza kuwa mashambulizi ya kijeshi ya Hezbollah yalifikia 4,637, tangu kuanzishwa kwa kile kinachojulikana kama "Mafuriko ya Al-Aqsa" Oktoba 7, 2023, kwa kasi ya operesheni 11 kwa siku.

Hezbollah ilisema kuwa upande wa Israel ulipoteza wanajeshi 130 wakati wa uvamizi wa ardhini nchini Lebanon, pamoja na vifaru 59 vya Merkava na ndege nane zisizo na rubani, ikibainisha kuwa hasara hiyo haijajumuisha yale yaliyofanyika huko upande wa Israel katika ngome, kambi za kijeshi, makazi na miji iliyokaliwa kimabavu.”

Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa "ujumbe huo ni kwa ajili ya jeshi ambalo liliweza 'kuangusha' malengo ya Israel na 'kulishinda jeshi lake'," na kuongeza kuwa wapiganaji wake "watasalia tayari kikamilifu kukabiliana na nia ya mashambulizi ya adui, Israel, na kwamba macho yao yataendelea kufuatilia mienendo na uondoaji wa majeshi ya adui nje ya mipaka yake."

Screenshot_2024-12-01-05-56-11-470_com.android.chrome.jpg
 
Hakuna hata kijiji kimoja Lebanon kuna jeshi la Israel walijaribu underground wakashindwa wenyewe na kuumizwa kuliko kuumizwa na kuuliwa, ile mission ilifeli, Hizbollah sio jeshi linaloishi magorofani, uko magorogani waliuwa raia tu hezbollah wako makini
Wewe ni mgonjwa
 
Mimi sifanyii kazi vyanzo vya google search nilifikiri una document original ya makubaliano
Waarabu wa Kwihaka mkishajua na tuneno twa kikafiri(kiingereza)kidogo huwa mnakuwa wabishi kuliko hata ubishi wenyewe.
 
Hakuna kipindi Hizbollah kapigwa Kama kipindi hiki.
 
Hakuna kipindi Hizbollah kapigwa Kama kipindi hiki.
Ameumizwa sana na hata kule alikokuwa akitegemea kupata misaada nako kumeumizwa. Anashauriwa atumie kwa kujibana sana hizo silaha chache alizobaki nazo.
 
Back
Top Bottom