Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Haaretz Newspaper:

The army is following with concern the arrival of about 40 thousand fighters from #Syria, Iraq and #Yemen to the Golan and they are waiting for Nasrallah's call to fight

The presence of fighters is dangerous and we will intervene in #Syria to make it clear to Assad that we will not accept their presence in this place
 
Wanaukumbi.

BREAKING: HEZBOLLAH YAWAAMBIA RAIA WA ISRAEL KUHAMA TEL AVIV

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1838636715604611189?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Haaaa!

Kumbe wanawaomba raia wa Tel Aviv wadai kusitishwa kwa mapigano.

Pole yao Hezibolaa.
 
⚡️ Haaretz Newspaper:

The army is following with concern the arrival of about 40 thousand fighters from #Syria, Iraq and #Yemen to the Golan and they are waiting for Nasrallah's call to fight

The presence of fighters is dangerous and we will intervene in #Syria to make it clear to Assad that we will not accept their presence in this place
 
⚡️Channel 14 Hebrew:

A 30% increase in the number of Israelis in the north seeking psychological help due to panic attacks "madness from fear".
 
Kama hio video rocket nyingi zinahalibiwa juu huko huko .

Labda Iran wawape super sonic speed missile kitu.
Au long range ballistic missile ndo itakuwa rahisi.

Sasa nao sometime wanapiga mpk mabanda ya ng'ombe.
War strategy itakuwa hizbullah wanatunza makombora makali sasa wanatumia yale ya kutoa kama chambo tu ili kupunguza au kudeplete iron dome na air defense za adui wao huwa mara nyingi vita ni mkakati sio hasira ,ili ushinde ni mkakati halafu na hasira ya kuimplement hizo strategy.
Acha waendelee kuchapana heshima ipatikane
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama vile ambavyo hamkushinda mbinguni, hata duniani hamtashinda.
 
Itakuwa idf wako busy kustrike dummy launching site hii vita sio rahisi ndio maana wayahudi wa usa wamesogeza wanajeshi pale middle east ila naona kazi ya Houth wayemeen itakuwa ni kuzamisha au kuzifanya battle incapacity meli za kivita acha tujionee
Hezbollah inatenda kimkakati.

Wamekuwa wakimaliza makombora ya ulinzi wa anga ya Israeli kwa kurusha makombora ya bei ya chini, kama vile Katyusha na Fadi, kwa mashambulio.

Licha ya hayo, Hezbollah bado haijatumia makombora yake ya masafa marefu yanayoongozwa kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na Fateh-110, Zelzal, Scud, na makombora mengine.

Makombora haya yatarushwa wakati hali itatokea.
 
Itakuwa idf wako busy kustrike dummy launching site hii vita sio rahisi ndio maana wayahudi wa usa wamesogeza wanajeshi pale middle east ila naona kazi ya Houth wayemeen itakuwa ni kuzamisha au kuzifanya battle incapacity meli za kivita acha tujionee
Hii vita ikisambaa itakuwa ni mbaya!

Lebanon wana share mpaka mkubwa sana na Syria.

Taarifa zilizo rasmi ni kwamba wapiganaji takribani elfu 40 kutoka Iraq, Syria na Yemen wamesogea karibu na Golan, kinachosubiriwa ni Israel aingize tu jeshi lake Lebanon watu wavamie kutokea Syria na Hizbullah aingie kutokea Lebanon.

Israel naye kashtukia mchezo hataki kuingiza jeshi Lebanon. Kapeleka jeshi lake karibu na mpaka wa Lebanon kwa hofu ya kuwa Hizbullah anaweza akaingia.
 
Back
Top Bottom