Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Huo mji upo North Israel ni kama tu South Lebanon unajua kinachoendelea pande mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mji upo North Israel ni kama tu South Lebanon unajua kinachoendelea pande mbili
Vita ngumu hii maana hizbullah hawa hawa ndio walioenda kukomboa baadhi ya miji ya Syria na kuhakikisha rais wa Syria anaendelea kuwepo madarakani kwa hiyo wanaallies wakutosha tena jirani wa nguvu kama Syria ambaye ndani mwake kuna tartus military base ya mrussi kwa hio kupata supply ya silaha hata kama za kutoka russia kupitia syria inawezekana hii vita ni ngumu sana ila tunaomba mungu iran asiingie maana tutasuffer huku maana akiingia tu kwenye vita lazima atafunga strait of hormuz na mafuta yatakuwa shida kupatikana maana meli zitashindwa kupita hapo.Hii vita ikisambaa itakuwa ni mbaya!
Lebanon wana share mpaka mkubwa sana na Syria.
Taarifa zilizo rasmi ni kwamba wapiganaji takribani elfu 40 kutoka Iraq, Syria na Yemen wamesogea karibu na Golan, kinachosubiriwa ni Israel aingize tu jeshi lake Lebanon watu wavamie kutokea Syria na Hizbullah aingie kutokea Lebanon.
Israel naye kashtukia mchezo hataki kuingiza jeshi Lebanon. Kapeleka jeshi lake karibu na mpaka wa Lebanon kwa hofu ya kuwa Hizbullah anaweza akaingia.
Wanaukumbi.
BREAKING: HEZBOLLAH YAWAAMBIA RAIA WA ISRAEL KUHAMA TEL AVIV
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.
Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.
Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.
Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1838636715604611189?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hakuna raia ataeguswa ? We una akili kweli ?nani mwingine ajipendekeze aonjeshwe joto? Hezb na Hamas wanajuta na Israel wamewaacha wapige outdated facilities ili waonekane nao wanapigana ila hakuna raia wa Israel atakayeguswa na wavaa kobadhi
Wameshaufungua mlango wa Jehannam ngoja tuone hali itakuwaje!Vita ngumu hii maana hizbullah hawa hawa ndio walioenda kukomboa baadhi ya miji ya Syria na kuhakikisha rais wa Syria anaendelea kuwepo madarakani kwa hiyo wanaallies wakutosha tena jirani wa nguvu kama Syria ambaye ndani mwake kuna tartus military base ya mrussi kwa hio kupata supply ya silaha hata kama za kutoka russia kupitia syria inawezekana hii vita ni ngumu sana ila tunaomba mungu iran asiingie maana tutasuffer huku maana akiingia tu kwenye vita lazima atafunga strait of hormuz na mafuta yatakuwa shida kupatikana maana meli zitashindwa kupita hapo.
Source?Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Wamekufa waislam wangapi hadi wakati unareply kwa gharama ya mateka? Tumia kili usitumie tasbihi unapojibu post za vitaHakuna raia ataeguswa ? We una akili kweli ?
Wale waliotekwa ni raia wa Uganda au
Unataka atumie Rozari ya Bikira Maria, Waislam kufa kwenye vita ni ushindi wagalatia na walokole kama nyie na mabwana zetu Israel ndiyo wanaogopa kufa ndiyo maana Hamas au Hezbollah akiuwa hata Muisrael mmoja ni ushindi, halafu hivi vita viwafumbua watu kumbe hili jeshi la Wasenge. hawana lolote leo mwaka unafika Gaza bado inawasumbua hawajui hata mateka wapo wapi pamoja na kusaidiwa na Ulaya na Marekani, Gaza yenyewe Kigqmboni kubwa.Wamekufa waislam wangapi hadi wakati unareply kwa gharama ya mateka? Tumia kili usitumie tasbihi unapojibu post za vita
Wamekufa waislam wangapi hadi wakati unareply kwa gharama ya mateka? Tumia kili usitumie tasbihi unapojibu post za vita
Maneno ya kipumbavu kuwahi kutokea chini ya jua siku ya leo. Badae utasikia ooo sijui wanawake na watotoWanaukumbi,
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.
Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.
Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.
Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.
We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.
If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
Allahu akbar plus bikira 72Mkuu, ili kupata hivyo vituko mna subscribe kwenye number au channel gani?😅