Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
Hezbollah Huwa hawatanii na hawasemi uongo. Siyo kama mazayuni, uongo ni jadi yao.
 
Nimetoka sasa hivi Al jazeera kwenye breaking news rais wa irani kaomba poo ya mtu.......Lebanon karibia anataga yai la pasaka
 
Haaretz Newspaper:

The army is following with concern the arrival of about 40 thousand fighters from #Syria, Iraq and #Yemen to the Golan and they are waiting for Nasrallah's call to fight

The presence of fighters is dangerous and we will intervene in #Syria to make it clear to Assad that we will not accept their presence in this place
Kila siku anapiga huko Syria,alitegemea nini!?
 
Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
Ni nani aliyekuwa akielezwa maneno hayo?
 
Netanyahu ana kisasi cha kumpoteza kakake miaka y nyuma. So anaona kuwauwa wafilistine nikama kulipiza kisasi,. Wazayuni wasipokuwa makini.na kuendelea kumwamini Netanyahu atawaponza kukubwa. Mana nao mdogomdogo lkn wanakufa pia. Ndio bye bye
 
Kama hio video rocket nyingi zinahalibiwa juu huko huko .

Labda Iran wawape super sonic speed missile kitu.
Au long range ballistic missile ndo itakuwa rahisi.

Sasa nao sometime wanapiga mpk mabanda ya ng'ombe.
Hujui wanachofanya.
Hizbollah kwanza huwa wanarusha roketi nyingi ili kui jam iron dome baada ya hapo ndio wanarusha strategic missiles kuhit target.
Hizo rockets ni kwaajili ya kuizubaisha iron dome,iron dome soon inakua empty ikiwa empty watu wanarusha strategic missile kugonga lengo.
Hata kambi ya Galilaya ilifanyiwa hivyo hivyo ikalipuka.
 
Waondoke haraka sana maana Kuna silaha hazija testiwa kutoka Iran yasije yakawakuta mambo
Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
20240925_075552.jpg

20240925_080651.jpg

View: https://x.com/JewishWarrior13/status/1838601796509426124?t=EPZrkCrO7hlg4Y4sDISUsA&s=19
 
Historical ya wazayuni miaka iyo bada ya kuundwa dollayao kupitia azimio la UN chini ya uingeleza ambayo ndio walipeleka mswada au wazo la kutaka kuazishwa Israel uko ktk ichi ya wafilistin ambao masikni awa awajawai kupata aman au uhuru akitoka bwana uyu kutawala eneoLao anakuja uyu. Atimae nchi yao imegawanywa nusu Israel nusu Palestine majesh ya wazungu yakaenda kulinda nchi mpya itwsyo Israeli. Kutoka apo wazayuni kutoka kila seem wakaanza kuelekea ktk nchyao mpya na inadaiwa asilimia kubwa walitumia majaazi makubwa kufika ktk nchi yao walio aidiwa wataish kwa amani mustarehee lkn ukweli hii ilikuwa uwongo awajawai pata amani tangu apo adi sasa kwasasa kuna kila dalili kuwa wataondoka upya tena kupitia bahari ileile waliotumia kujia tena kutumia ktk ichi ya ahadi, ktk ya kushangaza sana dunia kweli inazunguka.,, upande wa pili iyo Israel ukiacha palestrina wamekuwa mwiba kwao. Lkn umo ndani ktk nchi yao tangu imeidwa awajawai wenyewe kuishi kwa amani kupendana kuna wayahudi kuna wazayuni so inch imeshikwa na wazsyuni ambayo kitabiya sio watu wamungu wenyekuegemea mambo ya mungu tofauti na mayahudi awa wapo kiibada sana kias sasa wakajikuta tena wanamaugomvi kibao jamii izi tangu apo adi sasa kias awa jamaa wakaamua kuwaunga mkono wapalestina so ichi iyo ilikuwa tangu imeidwa ni shida tupu uwezi kuchanganya walevi na wahumini eti waishi kwa upendo ndani nyumba ndipo awa wahumini w kiyahudi wakagundua bola kuishi chini ya wapalestin kuliko kuishi chini ya zayuni. Shida zilikuwa nyingi siasa zao pia zikawa na matabaka muwe na asubui njema mungu atufanyiye wepesi ktk kutafuta mkate wetu. Tuaombe amani kwawote wote ni binadamu wenzetu wakipitia mateso atupendi watafute amani dunia iwe seem ya amani.
 
Back
Top Bottom