Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Eeeh bwana eeeh, mashambulizi ya siku mbili tu, tayari Israel imeshaua Walebanon 500+, Waisrael wana roho mbaya sana. Mbwa kabisa!!!

Hezbollah wajitafakari kama wanaweza kwenda na spidi ya Mazayuni. Maana hii ni hatari, hii kitu inaniletea Gaza vibez.

Hivi Waajemi nao wanasemaje? Wametulia tu kimya kipindi Israel anafanya huu ubaradhuli kwa raia wema wa Lebanon?

Waajemi nao mbwa kabisa!!!
 
UN na USA wanapanga kukaa kikao ili kufanya de-escalation.
Nimesoma nakala ya BBC inaonesha juzi na jana usiku Hizbollah imekua inarusha maroketi bila kupumzika kuelekea Israel.
Pia Taliban,Houthi wapo mpakani mwa Syria wakingojea kushambulia.
Hiki kitendo kimeleta tension.
Ila Masoud Pezeshkian amesema Hizbollah haiwezi kusimama peke yake bila Iran,ila anahofia mzozo ukiwa mkubwa huwenda ukaileta Iran na Western power katika mapigano.
 
Hujui wanachofanya.
Hizbollah kwanza huwa wanarusha roketi nyingi ili kui jam iron dome baada ya hapo ndio wanarusha strategic missiles kuhit target.
Hizo rockets ni kwaajili ya kuizubaisha iron dome,iron dome soon inakua empty ikiwa empty watu wanarusha strategic missile kugonga lengo.
Hata kambi ya Galilaya ilifanyiwa hivyo hivyo ikalipuka.
Yanatumia vita vya akili sana
 
UN na USA wanapanga kukaa kikao ili kufanya de-escalation.
De-escalation!?
😂😂😂
Vipi kuhusu hao raia wema 500+ waliokatishwa uhai wao?
Then, USA ni mbwa wa Israel.
Nimesoma nakala ya BBC inaonesha juzi na jana usiku Hizbollah imekua inarusha maroketi bila kupumzika kuelekea Israel.
Shida hayo maroketi wanayorusha hatuoni yakileta madhara upande wa Israel kulinganisha na madhara anayosababisha Israel Lebanon.

Waisrael wangapi wamefariki mpaka muda huu?
Pia Taliban,Houthi wapo mpakani mwa Syria wakingojea kushambulia.
Wanangojea nini? Wanangojea Lebanon igeuzwe Gaza ndio waanze kushambulia.

UN na USA wanapanga kukaa kikao ili kufanya de-escalation.
Nimesoma nakala ya BBC inaonesha juzi na jana usiku Hizbollah imekua inarusha maroketi bila kupumzika kuelekea Israel.
Pia Taliban,Houthi wapo mpakani mwa Syria wakingojea kushambulia.
Hiki kitendo kimeleta tension.
Ila Masoud Pezeshkian amesema Hizbollah haiwezi kusimama peke yake bila Iran,ila anahofia mzozo ukiwa mkubwa huwenda ukaileta Iran na Western power katika mapigano.
Kwahiyo Masoud anawaogopa Marekani, ndio maana anashindwa kuwasaidia Lebanon?
Maana western power ni Marekani ambaye naye ni mbwa wa Israel, hapa ni sawa na kusema Iran anaiogopa Israel.

Hapa nawaza tu, Israel akishambulia na leo hali itakuwaje hapo Lebanon!
 
Uwezo wa kumalizana na hizbullah hana
Hata mimi nilikuwa ninaamini hivi, sikutegemea kama Hezbollah anaweza kuruhusu Israel kuua Walebanon 500+ kwa mashambulizi ya siku mbili tu.

Vita vya mwaka 2006 vilipiganwa kwa muda wa siku kama 30 hivi, raia wa Lebanon waliouawa walikuwa kama 1100, lakini vita hii ya sasa ndani ya siku tatu tu unaona alichokifanya Israel, ndani ya siku tatu ameshaua nusu ya idadi ya raia aliowaua mwaka 2006. Bado Israel hajafanya mashambulizi leo na kesho.

Lakini ngoja tuone, labda kuna mabadiliko yatatokea.
 
Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
. Tulie kwanzwi
Waondoke haraka sana maana Kuna silaha hazija testiwa kutoka Iran yasije yakawakuta mambo
Itakua ndio mwisho wa Iran
 
Hata mimi nilikuwa ninaamini hivi, sikutegemea kama Hezbollah anaweza kuruhusu Israel kuua Walebanon 500+ kwa mashambulizi ya siku mbili tu.

Vita vya mwaka 2006 vilipiganwa kwa muda wa siku kama 30 hivi, raia wa Lebanon waliouawa walikuwa kama 1100, lakini vita hii ya sasa ndani ya siku tatu tu unaona alichokifanya Israel, ndani ya siku tatu ameshaua nusu ya idadi ya raia aliowaua mwaka 2006. Bado Israel hajafanya mashambulizi leo na kesho.

Lakini ngoja tuone, labda kuna mabadiliko yatatokea.
Israel kuua raia na kubomoa majumba ni kawaida yake,na huo siyo ushindi,huko Gaza kabomoa kila jumba na mateka hajawapata
 
Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Jamaa wewe ni comedian?
 
Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
Hapo sasa ndipo penye utamu.
 
Wajukuu wa Abraham wanakaribia kuifanya Lebanon kuwa gaza at the once again
Rais wa Iran Masoud Peshkizian alisema kuwa Hizbollah haiwezi kusimama yenyewe pasi na Iran ila kuna hofu kuwa huwenda hii vita ikisambaa ikawavuta USA na Iran katika mapigano.
Sasa hapo ndio kuomba poo!?
 
Back
Top Bottom