kafuta ambele
Senior Member
- Aug 7, 2017
- 184
- 515
Wabongo taarfa ikishapostiwa kwa kiingereza basi mnaona hyo ni source rasmi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nasema Israel mjanja sana.Wanaowaona kama ndo hezibulla
UN na USA wanapanga kukaa kikao ili kufanya de-escalation.Eeeh bwana eeeh, mashambulizi ya siku mbili tu, tayari Israel imeshaua Walebanon 500+, Waisrael wana roho mbaya sana. Mbwa kabisa!!!
Hezbollah wajitafakari kama wanaweza kwenda na spidi ya Mazayuni. Maana hii ni hatari, hii kitu inaniletea Gaza vibez.
Hivi Waajemi nao wanasemaje? Wametulia tu kimya kipindi Israel anafanya huu ubaradhuli kwa raia wema wa Lebanon?
Waajemi nao mbwa kabisa!!!
Yanatumia vita vya akili sanaHujui wanachofanya.
Hizbollah kwanza huwa wanarusha roketi nyingi ili kui jam iron dome baada ya hapo ndio wanarusha strategic missiles kuhit target.
Hizo rockets ni kwaajili ya kuizubaisha iron dome,iron dome soon inakua empty ikiwa empty watu wanarusha strategic missile kugonga lengo.
Hata kambi ya Galilaya ilifanyiwa hivyo hivyo ikalipuka.
Pasi na kutumia akili huwezi kumshinda mzayuni.Yanatumia vita vya akili sana
Hadithi ya vita ni nzuri ukiwa unasimuliwa ila ni mbaya sana ukiwa uko kwenye uwanja huo ndo utaelewaVita ni mbaya sana,
De-escalation!?UN na USA wanapanga kukaa kikao ili kufanya de-escalation.
Shida hayo maroketi wanayorusha hatuoni yakileta madhara upande wa Israel kulinganisha na madhara anayosababisha Israel Lebanon.Nimesoma nakala ya BBC inaonesha juzi na jana usiku Hizbollah imekua inarusha maroketi bila kupumzika kuelekea Israel.
Wanangojea nini? Wanangojea Lebanon igeuzwe Gaza ndio waanze kushambulia.Pia Taliban,Houthi wapo mpakani mwa Syria wakingojea kushambulia.
Kwahiyo Masoud anawaogopa Marekani, ndio maana anashindwa kuwasaidia Lebanon?UN na USA wanapanga kukaa kikao ili kufanya de-escalation.
Nimesoma nakala ya BBC inaonesha juzi na jana usiku Hizbollah imekua inarusha maroketi bila kupumzika kuelekea Israel.
Pia Taliban,Houthi wapo mpakani mwa Syria wakingojea kushambulia.
Hiki kitendo kimeleta tension.
Ila Masoud Pezeshkian amesema Hizbollah haiwezi kusimama peke yake bila Iran,ila anahofia mzozo ukiwa mkubwa huwenda ukaileta Iran na Western power katika mapigano.
Amini mkongwe, Israel akifanikiwa kumalizana na Lebanon, Yemen are next!Pasi na kutumia akili huwezi kumshinda mzayuni.
Mzayuni mtu mjanja sana aisee.
Wajukuu wa Abraham wanakaribia kuifanya Lebanon kuwa gaza at the once againPoo ya nini embu tuambie??
Uwezo wa kumalizana na hizbullah hanaAmini mkongwe, Israel akifanikiwa kumalizana na Lebanon, Yemen are next!
Hii kitu Israel haifanyi bahati mbaya.
Hata mimi nilikuwa ninaamini hivi, sikutegemea kama Hezbollah anaweza kuruhusu Israel kuua Walebanon 500+ kwa mashambulizi ya siku mbili tu.Uwezo wa kumalizana na hizbullah hana
. Tulie kwanzwiNimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Itakua ndio mwisho wa IranWaondoke haraka sana maana Kuna silaha hazija testiwa kutoka Iran yasije yakawakuta mambo
Israel kuua raia na kubomoa majumba ni kawaida yake,na huo siyo ushindi,huko Gaza kabomoa kila jumba na mateka hajawapataHata mimi nilikuwa ninaamini hivi, sikutegemea kama Hezbollah anaweza kuruhusu Israel kuua Walebanon 500+ kwa mashambulizi ya siku mbili tu.
Vita vya mwaka 2006 vilipiganwa kwa muda wa siku kama 30 hivi, raia wa Lebanon waliouawa walikuwa kama 1100, lakini vita hii ya sasa ndani ya siku tatu tu unaona alichokifanya Israel, ndani ya siku tatu ameshaua nusu ya idadi ya raia aliowaua mwaka 2006. Bado Israel hajafanya mashambulizi leo na kesho.
Lakini ngoja tuone, labda kuna mabadiliko yatatokea.
Jamaa wewe ni comedian?Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Kabisa... Naona kuna watu wakikaa hapa wanatiana moyo halafu hayapitI masaa mengi wanajisahau wanaanza kulalamika.Uzi wa kupeana matumaini
Hizo news jitume kwenye media za ulimwenguMkuu, ili kupata hivyo vituko mna subscribe kwenye number au channel gani?😅
Hapo sasa ndipo penye utamu.Wanaukumbi,
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.
Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.
Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.
Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.
We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.
If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
Rais wa Iran Masoud Peshkizian alisema kuwa Hizbollah haiwezi kusimama yenyewe pasi na Iran ila kuna hofu kuwa huwenda hii vita ikisambaa ikawavuta USA na Iran katika mapigano.Wajukuu wa Abraham wanakaribia kuifanya Lebanon kuwa gaza at the once again