Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Stori nyingi kivipi!?
We huoni watu wamehamaki wanakimbia kwenye mahandaki!?
Umeshajiuliza kwanini USA imepeleka jeshi middle east jana?
Unapotaka kumpiga mtu punguza kuongea sana. Vitani ukiongea sana utamjilisha adui in advance, atajipanga alipo. For what?
IDF huwa wanawajulisha watapiga wapi au kutumia nini?
Us ametuma troops but unajua idadi waliotuma?
 
Unapotaka kumpiga mtu punguza kuongea sana. Vitani ukiongea sana utamjilisha adui in advance, atajipanga alipo. For what?
IDF huwa wanawajulisha watapiga wapi au kutumia nini?
Us ametuma troops but unajua idadi waliotuma?
Kwa wewe unavyoona kwa jeshi la USA idadi ilotumwa ni ndogo!?
Je wameenda bure bila ongezeko la silaha!?
Usimpangie nini mtu atafanya.
Hizbollah wameongea na wameshambuli mwisho tunaona hao wanakimbizana kama kuku na video zinaoneshwa maeneo ya Israel yanayoungua.
 

Nimekuuliza unajua idadi ya wanajeshi wa US waliotumwa huko na wewe unauliza badala ya kujibu swali?
Jibu swali na swali halijibiwa kwa swali
Hezbollah wangekuwa effective kias hiko israel isingekuwepo leo, probably nusu ya israel inge fall. Nini kimetokea? Wame make progress gani kwenye uwanja wa vita mpaka sasa?
 
*US haijabainisha ni kiasi gani cha askari imepeleka middle east kwasasa.Wakidai kwasababu za kiusalama hawatataja idadi.
*Kushindwa kwa mapigano kwa Israel na kutokuwepo kwa Israel ni mambo mawili tofauti.Kwani 2006 Hizbollah ilishindaje vita dhidi ya Israel pale Bint Jubeir!?
Effectiveness yao ndio iliyowaondoa Israel Bint Jubeir.
*Ukizungumzia maafa ya sasa,ni kwamba katika askari elfu sabini wa IDF ambao ni disabled elfu kumi na mbili walipatikana Galilaya kwa mashambulizi ya Hizbollah.
Mashambulizi ya Hizbollah imefanya raia zaidi ya 200k wawe displaced Northern Israel.
Bado utasema hawajaleta impact!?
Sasa hivi Galilee haiwekwi millitary camp bali kumewekwa millitary post kwa kuhofia mashambulizi ya Hizbollah.
 

View: https://x.com/CherylWroteIt/status/1838876398636683578
 
Iyo milio ya hatari bola tu nibaki kibindu uku na mwajumawangu kuliko uko Israel sasa sijui tuwaombee amani au wao ndio watatuombee sisi wauku kibindu mlimani. Kwasasa tuwaombee wao amani jamii waache kupelekeana moto.🤲🤲
 
Rais wa Iran Masoud Peshkizian alisema kuwa Hizbollah haiwezi kusimama yenyewe pasi na Iran ila kuna hofu kuwa huwenda hii vita ikisambaa ikawavuta USA na Iran katika mapigano.
Sasa hapo ndio kuomba poo!?
Sasa unategemea usa akiingia si lazima Iran aite mma
 
Marekani na Israel leo ndiyo wanasema wapo tayari kusitisha vita Gaza Hizbollah waache kushambulia wameambiwa vita ndiyo vinaanza sasa.

View: https://x.com/currentreport1/status/1838945648198160418?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Vyombo vya habari vya Kiebrania: Kwa sababu ya kuongezeka kwa usalama na kughairiwa kwa safari nyingi za ndege na mashirika ya ndege hadi Uwanja wa Ndege wa Lod (Ben Gurion), bei za tikiti za ndege kati ya "Tel Aviv" na "New York" zimefikia $16,000.
😀 Hezbollah siyo Hamas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…