FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu.
Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni.
Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda mfupi tu. Haijawahi kutokea kitu kama hiki duniani.
Wametowa tamko baada ya shambulizi hilo na kusema hiyo ni "bashraf" tu, tupo katika kutazama missiles zipi zitafaaa zaidi kuwafinyia, mashambulizi kamili hayajaanza.
Jeshi la uvamizi la mazayuni limekiri kuchezea kichapo. Jionee mwenyewe:
View: https://youtu.be/6D8jIVgWxnI?si=d5aLik53xHVyANd5
Hii tisha toto ya leo inanifanya sasa nielewe zaidi kwanini mazayuni waliwahi kunyanyuwa mikono (kusalimu amri) na kukiri kuchezea kichapo kutokea kwa Hezbollah.
Halafu jana Hassan Nassrallah, aliwaambia mazayuni "vijana wa Hamas wa Ghaza walikuwa wanapima kina cha maji tu na wameionesha dunia kuwa IOF si chochote si lolote, sasa subirini muelewe vita ni nini". Halafu leo anawafanyia vituko hivyo.