Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

We bibi nilishakwambia saa nyingine ukumbuke kuosha hilo pori hapo chini badala ya kushinda kubishana humu.

Watu wanapigwa sana tu huko kimyakimya,we uko humu kupiga propaganda.

Njoo j3 uone idadi.

Lebanon ndo ziraili anaenda we ngoja tu.
 
Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu.

Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni.

Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda mfupi tu. Haijawahi kutokea kitu kama hiki duniani.

Wametowa tamko baada ya shambulizi hilo na kusema hiyo ni "bashraf" tu, tupo katika kutazama missiles zipi zitafaaa zaidi kuwafinyia, mashambulizi kamili hayajaanza.

Jeshi la uvamizi la mazayuni limekiri kuchezea kichapo. Jionee mwenyewe:

View: https://youtu.be/6D8jIVgWxnI?si=d5aLik53xHVyANd5

Hii tisha toto ya leo inanifanya sasa nielewe zaidi kwanini mazayuni waliwahi kunyanyuwa mikono (kusalimu amri) na kukiri kuchezea kichapo kutokea kwa Hezbollah.

Halafu jana Hassan Nassrallah, aliwaambia mazayuni "vijana wa Hamas wa Ghaza walikuwa wanapima kina cha maji tu na wameionesha dunia kuwa IOF si chochote si lolote, sasa subirini muelewe vita ni nini". Halafu leo anawafanyia vituko hivyo.

Baada ya tisha toto na kuchaguwa missiles zitazowafaa kwa kazi yao ya leo, Hezbollah wakasambaratisha kabisa kituo (base) ya anga ya mazayuni:

Kumbuka; hicho ni moja ya vituo vinavyolindwa na kila aina ya mitambo ya kisasa ya kushambuliwa, lakini tumeona kinachapwa kama vile hakuna mtu au ulinzi.

Hezbollah inatisha.
 
We bibi nilishakwambia saa nyingine ukumbuke kuosha hilo pori hapo chini badala ya kushinda kubishana humu.
Watu wanapigwa sana tu huko kimyakimya,we uko humu kupiga propaganda.
Njoo j3 uone idadi.
Lebanon ndo ziraili anaenda we ngoja tu.
Sasa kijana matusi yanini? Sijawahi kukutukana, hunijuwi sikujuwi. Jibu hoja zangu.

Hiki kichapo kingine cha mitaani, kinachowamaliza mazayuni mpaka hawaoni wanaewapiga wakaenda kupiga maiti makaburini:

Sasa kijana matusi yanini? Sijawahi kukutukana
Ushantukana sekunde mbili tu zilizopita.
Anyway tuachane na hayo hapa tunafurahia jukwaa tu.
Nisamehe kama nimekukwaza.
Nilitaka kukuchangamsha tu.
 
Wameomba Ufaransa na USA waiambie Hezbollahniwache mashambulizi, majibu ni haya:

View: https://youtu.be/wHfgFwdrtK0?si=cbaCyd3sjCWBFdId

Unaelewa Kingereza au tukutafsirie?

We people of the middle east we had high hope that one day peace will come to middle east but recent the action and comments of zionistic regime unfortunately that its long way until the day these people understand that they cannot force people to be ruled by the gun
the surveillance radar was hit by laser targeting anti tank missile and its believed it has been destroyed
people who knows about radar how important this station to zionist will tell you
people don't hate jews but they don't accept zionist killers
the world is changing and the way wars are fought are changing
just imagine American had difficult tunnels war in Vietnam now the zionist killers are fighting brave young fighter coming out of highly sophisticated tunnels to fight them
the merkava tank was designed as best tank but it is destroyed by home made anti tank
one day War will stop but zionist regime will not be the same acting as masters of middle east
they have a choice to leave in peace with their neighbors or self destruction
people don't scare of them now because they discovered their weakness
people should pray this is not expanding to other areas
their need another Rabin
nimeandika kizungu kusudi huyo mjanja anayetukana waarabu atarjimu nilichoandika
 
We people of the middle we had high hope that one peace will come to middle but recent the action and comments of zionistic regime unfortunately that its long way until the day these people understand that they cannot force people to be ruled by the gun
the surveillance radar was hit by laser targeting anti missile and its believed it has been destroyed
people who knows about radar how important this station to zionist will tell you
people don't hate jews but they don't accept zionist killers
the world is changing and the way wars are fought are changing
just imagine American had difficult tunnels war in Vietnam now the zionist killers are fighting brave young fighter coming out of highly sophisticated tunnels to them
the merkava tank was designed as best tank but it is destroyed by home made anti tank
one day War will stop but zionist regime will not be the same acting as masters of middle east
they have a choice to leave in peace with their neighbors or self destruction
people don't scare of them now because they discovered their weakness
people should pray this is expanding to other areas
their need another Rabin
nimeandika kizungu kusudi huyo mjanja anayetukana waarabu atarjimu nilichoandika
Should pray is not expanding to other areas because already in yemen red sea
 
Subiri comeback ya Israel uanze kusema wanauwa watoto na vikongwe
Kwanza mazayuni kupigana na Hamas tu ni mtihani mkubwa sana kwao, maana sasa vijana wa Hamas huko wanafanya uhuni wa wazi wazi kuwaudhi mazayuni.

Kupigana na ma shaheed wa Hamas ni kazi ngumu sana. Sikiliza mashine hiyo wanaipiga kimziki:

Nikiwaambia kupigana na Hamas ni kujitia ugonjwa moyo, msifikiri natania. Hawa vijana jinsi walivyoizowea vita, tazama sniper waa Hamas badala ya kumuuwa huyu kamfanya nini:

Kama si kyufanya utani kwenye vitu serious kwenye medani yeye anamtowa mwenzake korodani. Si bora angemuuwa tu?
 
Tazama mazayuni wanvyouingia mtego kichwa kichwa:

Sasa kijana matusi yanini? Sijawahi kukutukana, hunijuwi sikujuwi. Jibu hoja zangu.

Hiki kichapo kingine cha mitaani, kinachowamaliza mazayuni mpaka hawaoni wanaewapiga wakaenda kupiga maiti makaburini:

View attachment 2864112
Oya nyie acheni maskhara hata kama mimi ndio ningekua mjeda ningeomba ku retreat.
Jamaa wanavyotungua hivyo vifaru kama wanapopoa maembe mtini doooh!!!!
 
Kwanza mazayuni kupigana na Hamas tu ni mtihani mkubwa sana kwao, maana sasa vijana wa Hamas huko wanafanya uhuni wa wazi wazi kuwaudhi mazayuni.

Kupigana na ma shaheed wa Hamas ni kazi ngumu sana. Sikiliza mashine hiyo wanaipiga kimziki:

View attachment 2866762
😗😂😂😂😂😂😂😂😂 Hamas ni mafalaaa.
Yani hata hiyo RPG wameipiga pembeni kama wangetaka kuwaua wangewaua .Doooh hahahha inatia hasira hiii.
 
Hawa Wapalestina yaani hawana wasiwasi kabisa, huko Khan Younis ambako ndiko majeshi yote ya Kizayuni yamejikusanya, Abou Obaidah jana kajitokeza hukohiuko kuwaonesha kuwa tupooo:

View: https://youtu.be/98d8TVLllL0?si=fKCtSBlEgo-tjqK0

Picha hizi background inaonesha yupo kama meter 100 tu kutoka kwenye mkusanyiko wa majeshi ya mazayuni.

Hawa vijana wana ushujaa ambao haujwahi kuonekana duniani.

Ni mwanaume kweli kweli huyu ndugu yetu
 
Back
Top Bottom