Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

🚨 AMIN HOTEIT: "HEZBOLLAH WALIPOOZA JESHI LA ANGA LA ISRAELI" KWA KUPIGA MERON BASE

Brigedia Jenerali wa zamani Hoteit: "Hezbollah ilipiga shabaha ya kimkakati kwa kulenga kituo cha ufuatiliaji kinachofunika Lebanon, Syria, Iraq, Uturuki, na sehemu ya Mediterania, na hivyo kulemaza Jeshi la Anga la Israeli kwa njia fulani."

Vyanzo: Lebanon News
 
TUJIKUMBUSHE MAANDIKO MATAKATIFU:
MWANZO 21:9-12

Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.

Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.

Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe.

Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.
 
Hakuna Muislam asiye jasiri. Kumbuka Muislam hajichaguwi wala hachaguliwi kwa kura kupewa cheo. Nassrallah watu wakeanaowaongoza ndiyo wamemuona anafaa kuwaongoza. Hakuna kura huko.

Ukimuona Muislam hana ujasiri, utilie shaka Uislam wake.

Anavyotisha hata jina lake unaogopa kuliandika.
😀😀😀 Tadhali faiza, hata wewe ni jasiri?
 
Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu.

Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni.

Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda mfupi tu. Haijawahi kutokea kitu kama hiki duniani.

Wametowa tamko baada ya shambulizi hilo na kusema hiyo ni "bashraf" tu, tupo katika kutazama missiles zipi zitafaaa zaidi kuwafinyia, mashambulizi kamili hayajaanza.

Jeshi la uvamizi la mazayuni limekiri kuchezea kichapo. Jionee mwenyewe:

View: https://youtu.be/6D8jIVgWxnI?si=d5aLik53xHVyANd5

Hii tisha toto ya leo inanifanya sasa nielewe zaidi kwanini mazayuni waliwahi kunyanyuwa mikono (kusalimu amri) na kukiri kuchezea kichapo kutokea kwa Hezbollah.

Halafu jana Hassan Nassrallah, aliwaambia mazayuni "vijana wa Hamas wa Ghaza walikuwa wanapima kina cha maji tu na wameionesha dunia kuwa IOF si chochote si lolote, sasa subirini muelewe vita ni nini". Halafu leo anawafanyia vituko hivyo.

Nje ya mada shangazi. Shule za zamani zilikuwa zinasomesha haswa! Mwandiko umenyooka! Hongera na pia hii habari nimeikuta kwenye mdomo wa Bwana Putin: rt com.
 
Wewe lazima yakushangaza kwa sababu haujuwi kwanini upo duniani. Hayo si ya kumtisha Muislam. Tunaamini siku ya mtu ikifika ni lazima kuondoka "realm" ya duniani na kuingia "realm" nyingine.

Hakuna raha ya kifo kama ya kufa na upo kwenye njia ya Mwenyezi Mungu.

Usiwadhanie wamekufa hao, wa hai na wanaruzukiwa.
Wanatafuna mabikra 72 wa ahera wenye macho kama mayai na wasioenda choo. Wadanganyeni tu lakini watakuja kwisha wote.
 
Maskini Lebanon ikigeuzwa gaza tusiletewe vilio vya pray for Lebanon
 
Wewe lazima yakushangaza kwa sababu haujuwi kwanini upo duniani. Hayo si ya kumtisha Muislam. Tunaamini siku ya mtu ikifika ni lazima kuondoka "realm" ya duniani na kuingia "realm" nyingine.

Hakuna raha ya kifo kama ya kufa na upo kwenye njia ya Mwenyezi Mungu.

Usiwadhanie wamekufa hao, wa hai na wanaruzukiwa.
Nashukuru kwa kutambua kuwa leo pia wameuwawa.Sasa nikupe taarifa rasmi kwa mujibu wa Al jazeera.Leo wamekufa 22
 
Wanatafuna mabikra 72 wa ahera wenye macho kama mayai na wasioenda choo. Wadanganyeni tu lakini watakuja kwisha wote.
Mnadanganyana nyinyi tu hapo, katika Uislam hakuna ujinga huo mnaoueneza.

Kama hayo alikufundisha Muislam basi hizo ni fantasy zake tu. Kwa kuwa Uilam unasema hakuna cha kuelezea mfano wa "jannat" aka peponi.

Unajuwa maana ya "jannat"?
 
TUJIKUMBUSHE MAANDIKO MATAKATIFU:
MWANZO 21:9-12

Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.

Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.

Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe.

Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.
Tukiwambieni nyie makondoo mlio potea mnabisha Nabii Ibrahim yani azae haramu 😄 kumbukeni huyo anaitwa Rafiki wa Mungu.
Bibilia zenu hizo zitawaingizeni motoni
 
h
Nawakumbusha tu kiboko ya waarabu duniani ni ISRAEL 🇮🇱🇮🇱
nakukumbusha asiyempenda mwarabu ni mmarekani na ndiye alimpandikiza muisrael kupambana na huyo mwarabu ili uchumi wake ukue maradufu
 
Hii I'd hua nawasiwasi kua ni msela,

Hua sikuamini kabisa,kwa tuliopitia psychology za uchororon unakila dalili wewe ni msela
 
Back
Top Bottom