Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

Nawakumbusha tu kiboko ya waarabu duniani ni ISRAEL 🇮🇱🇮🇱

Fanya basi ukawasaidie wenzako upigwe ufe halafu mje mtulilie huku oh hamas wameuwa mtanzania mwenzetu, unaenda kusaidia mazayuni unategemea tukuache!
 
Hii vita haina ata chembe ya udini within rather economic reasons, suluhisho sio military intervention bali mazungumzo, pande mbili zinazohusika ni lazima zikae chini.
 
Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu.

Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni.

Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda mfupi tu. Haijawahi kutokea kitu kama hiki duniani.

Wametowa tamko baada ya shambulizi hilo na kusema hiyo ni "bashraf" tu, tupo katika kutazama missiles zipi zitafaaa zaidi kuwafinyia, mashambulizi kamili hayajaanza.

Jeshi la uvamizi la mazayuni limekiri kuchezea kichapo. Jionee mwenyewe:


View: https://youtu.be/6D8jIVgWxnI?si=d5aLik53xHVyANd5

Hii tisha toto ya leo inanifanya sasa nielewe zaidi kwanini mazayuni waliwahi kunyanyuwa mikono (kusalimu amri) na kukiri kuchezea kichapo kutokea kwa Hezbollah.

Halafu jana Hassan Nassrallah, aliwaambia mazayuni "vijana wa Hamas wa Ghaza walikuwa wanapima kina cha maji tu na wameionesha dunia kuwa IOF si chochote si lolote, sasa subirini muelewe vita ni nini". Halafu leo anawafanyia vituko hivyo.

Half of the Troops Simply Walked Out – Israeli Army Crisis Deepens

January 17, 2024 Blog, News

By Palestine Chronicle Staff

The crisis in the Israeli army is deepening, not only due to the stiff Palestinian Resistance in Gaza, but due to the fact that many Israeli soldiers are simply refusing to join the battlefield in the first place.

This phenomenon began in late November, when two Israeli officers were dismissed from the army for reportedly running away, along with their unit, from the Gaza battlefield, claiming that they did not receive support after being ambushed by dozens of Palestinian fighters.

This time, however, nearly half of a newly-formed battalion has simply refused to go to Gaza claiming lack of training, the KAN program ‘Hazet Hayom’ reported on Wednesday.
 
Mkwala ni Taaluma!
yetu macho na wasio!
 
Nawakumbusha tu kiboko ya waarabu duniani ni ISRAEL 🇮🇱🇮🇱
Kikundi kikodogo tu cha Hamas wameweza kuingia Israel na kuchukua mateka ata idadi hawana mpaka leo Israel wanakata mbuno kuwarejesha, wanapigwa na kupigika wala hakuna matumaini tena maandamano Netanyahu aondoke yametaradadi halafu unakuja hapa kuisifu Israel,

Ubora wa Israel uko wapi.., toka siku ya kwanza meli yenye shehena za silaha ilibidi itoke US kuja kuwasaidia na hadi leo hawajatoboa chochote zaidi ya kuua raia na kuangusha majengo ya raia, ubora wao uko wapi
 
Back
Top Bottom