Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

๐Ÿšจ AMIN HOTEIT: "HEZBOLLAH WALIPOOZA JESHI LA ANGA LA ISRAELI" KWA KUPIGA MERON BASE

Brigedia Jenerali wa zamani Hoteit: "Hezbollah ilipiga shabaha ya kimkakati kwa kulenga kituo cha ufuatiliaji kinachofunika Lebanon, Syria, Iraq, Uturuki, na sehemu ya Mediterania, na hivyo kulemaza Jeshi la Anga la Israeli kwa njia fulani."

Vyanzo: Lebanon News
 
TUJIKUMBUSHE MAANDIKO MATAKATIFU:
MWANZO 21:9-12

Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.


Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.


Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe.


Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Tadhali faiza, hata wewe ni jasiri?
 
Nje ya mada shangazi. Shule za zamani zilikuwa zinasomesha haswa! Mwandiko umenyooka! Hongera na pia hii habari nimeikuta kwenye mdomo wa Bwana Putin: rt com.
 
Wanatafuna mabikra 72 wa ahera wenye macho kama mayai na wasioenda choo. Wadanganyeni tu lakini watakuja kwisha wote.
 
Maskini Lebanon ikigeuzwa gaza tusiletewe vilio vya pray for Lebanon
 
Nashukuru kwa kutambua kuwa leo pia wameuwawa.Sasa nikupe taarifa rasmi kwa mujibu wa Al jazeera.Leo wamekufa 22
 
Wanatafuna mabikra 72 wa ahera wenye macho kama mayai na wasioenda choo. Wadanganyeni tu lakini watakuja kwisha wote.
Mnadanganyana nyinyi tu hapo, katika Uislam hakuna ujinga huo mnaoueneza.

Kama hayo alikufundisha Muislam basi hizo ni fantasy zake tu. Kwa kuwa Uilam unasema hakuna cha kuelezea mfano wa "jannat" aka peponi.

Unajuwa maana ya "jannat"?
 
Tukiwambieni nyie makondoo mlio potea mnabisha Nabii Ibrahim yani azae haramu ๐Ÿ˜„ kumbukeni huyo anaitwa Rafiki wa Mungu.
Bibilia zenu hizo zitawaingizeni motoni
 
h
Nawakumbusha tu kiboko ya waarabu duniani ni ISRAEL ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
nakukumbusha asiyempenda mwarabu ni mmarekani na ndiye alimpandikiza muisrael kupambana na huyo mwarabu ili uchumi wake ukue maradufu
 
Hii I'd hua nawasiwasi kua ni msela,

Hua sikuamini kabisa,kwa tuliopitia psychology za uchororon unakila dalili wewe ni msela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ