T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mkuu wako huyo kawahi kukuandalia vibaba vya pombe na mademuWewe punguani kweli lini BBC walishawahi kuandika habari za Hamas au Hezbollah?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wako huyo kawahi kukuandalia vibaba vya pombe na mademuWewe punguani kweli lini BBC walishawahi kuandika habari za Hamas au Hezbollah?
Kifo mnaogopa nyie wagalatia muasisi wa Hamas kuuliwa siku nyingi toka kifo chake Hamas wanaendelea na mapambano.Kaka pole Kwa msiba
Nyie walokole ndiyo mnaogopa kufa.Mkuu wako huyo kawahi kukuandalia vibaba vya pombe na mademuView attachment 3128066
Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.
Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.
Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.
Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive
=========================
View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hivi kwanini huwa wanaficha sura zao? Wanamuogopaga nani?Naam wavaa kobazi wanafanya comeback kimya kimya
Kifo mnaogopa nyie wagalatia muasisi wa Hamas kuuliwa siku nyingi toka kifo chake Hamas wanaendelea na mapambano.
View: https://x.com/suppressednws/status/1846919390408986969?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.
Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.
Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.
Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive
=========================
View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
nadhani ni mfumo wa wapiganaji wa kiarabu, wana hofu kama panyaHivi kwanini huwa wanaficha sura zao? Wanamuogopaga nani?
Hayo yote ni Matango Pori Magaidi wa Hezboullah hawawezi kuteka askari wa Israel hata mmoja kutokana na formation wanayoitumia vitani. Hata Magaidi wa Hamas walijaribu sana kuteka lakini wameshindwa hadi leo kwa Formation hiyo unaweza tu kuua lakini huwezi kuteka askari wao kwa namna yoyote ile.Hezbullah huwa hasemi uwongo hio itakuwa habari ni ya kweli kabisa, wacha nikachungulie channel yao Al Manar takuja na habari ya uhakika.
Hayo ni maneno ya mkosaji IRON-DOME imeokoa maishanya wengi toka magaidi wavamie huko israel Oct 07,2023 maelf ya maroketi yamevurumishwa kwenda Israel lakini mengi IRON-DOME iliweza kuyapopoa kwa usahihi kabisa hivyo kuokoa maisha ya watu na mali zao. Ni mwarabu-koko pekee ndiye atabeza umahiri wa IRON-DOME katikan uwanja wa vita. Ni kweli kuna wakati inaacha kuyapopoa si kwa sababu imeshindwa bali kwa sababu hayana madhara, Mengi ya makoroketi hayo huangukia sehemu za wazi kwa hiyo hakuna haja ya kuyapopoa lakini waarabu-koko husema IRON-DOME imeshindwa kuyapopoa wakati si kweli.kwenye IRON-DOME kuna mfumo tambuzi unaoweza kujua roketi hili linaangukia sehem za watu au sehemu za wazi.Hio hio kaka, haisomi drones kabisa, eti inafananisha drone na "birds". Iron dome tuliyokuwa tunaaminishwa kwamba ni impenetrable, lakini tumejionea picha za simu ambazo ni uncensored zikituonesha kufeli kwa iron dome. Israel ni wepesi sana, wakikosa msaada wa USA na nchi za Ulaya.
Wepesi ila wana uwezo wa kuua Majenerali na makamanda wa ngazi za juu wa adui, hadi helkopta ya Rais inaundiwa ajali, Leo helkopta nyingine na general mwingine amewahishwa kuzimuHio hio kaka, haisomi drones kabisa, eti inafananisha drone na "birds". Iron dome tuliyokuwa tunaaminishwa kwamba ni impenetrable, lakini tumejionea picha za simu ambazo ni uncensored zikituonesha kufeli kwa iron dome. Israel ni wepesi sana, wakikosa msaada wa USA na nchi za Ulaya.
Uzuri kwenye vita vinavyoendelea sasa imeonyesha wazi makundi yote ya kigaidi kuanzia Hamas hawataki kujulikana wameuliwa wangapi pamoja na kwamba unapukutishwa kama nzige. Na wao wanapenda sana kutoa taarifa za uongo zinazolenga tu wao kuonewa huruma na jumuia za kimataifa kila wanapopigwa wao hutoa idadi ya waliokufa kubwa ya watoto,wanawake na raia lakini ukiwauliza Hamas wamekufa wangapi hawawezi kusema na hawatasema. Tukija upande wa magaidi wa Hezboullah wao pia hawasemi nini kimewapata mpaka kiongozi wao mkuu Sayyed Hassan Nassrallah alipofywekelewa mbali hawakuweza kusema mpaka kilio kilipowaumbua ndipo wakasema ukweli kwa kuremba kuwa Sayyed hassan Nassrallah amekufa shahidi. Pia ni kawaida ya magaidi hawa kudai tumeipiga kambi ya kijeshi mara tumepiga Tel Aviv na kuua watu wengi wakati ni uongo. Tukija kwa baba wa magaidi hao yaani Iran naye ni wale wale alishambulia israel kwa mara ya kwanza kwa mbwembwe nyingi na kudai kashambulia kambi za kijeshi na Israel ilipokuja kujibu mashambilizi yake siku ya kwanza Iran ilidai hakuna madhara siku ya pili vilio viliwaumbua na ndiyo maana sasa hivi wanataka kulipiza kisasi. Kwa upande wa Israel tukio katika vita lazima kuripotiwa na kama kuna askari wamekufa wanaweka na picha zao kabisa wanajua ukificha huyo aliyekufa ana ndugu na ana familia hivyo ni uongo kudai kuwa Israel inaficha idadi ya askari au watu wake wana okuta katika vita. Jeshi la Israel liko wazi sana huwezi kulinganisha na Magaidi wa Hamas na Hezboullah.Unazungumzia Iron Dome hii hii ambayo ilishindwa kuzuia ile drone iliyoangamiza wanajeshi 4 na kuacha wengine zaidi ya 50 majeruhi au Kuna nyingine kutoka sayari ingine?
Kawaida ukisikia serikali duniani kama Israel inakiri kuwa ilishambuliwa na wanajeshi kadhaa wameuwawa. Basi ujue hilo shambulio halikuwa la kitoto kiasi ya kwamba limeshindwa kufichwa na mamlaka. Hivyo ukisikia kuwa waliuwawa wanajeshi wa4 ujue wametoa sifuri ya mbele tu. Lakini kiuhalisia walikufa wanajeshi 40.
Wanakumbi.
🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI
Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.
Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.
Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.
Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive
=========================
View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
We kapime akili zako we huoni wamefungwa mikono yao hata wakiwachiwa hizo silaha nyuma watazibeba vipi tupe akili 😄
Kwa tarifa yako leo waziri wa majeshi ya Israel anasema walidangan'ywa Nasurlah yuko hai
View: https://youtu.be/-_N_iuH_3zY?si=sebxt4dsrXfNXJPj
Acheni kunywa pombe za kienyejiHata Osama yupo hai!💪👍