HezibuLlaah hawana tena woga kupigana na Israel.Warusha maroketi wanapotaka.Netanyahu aitisha kikao kujadili hali isiyokawaida.

HezibuLlaah hawana tena woga kupigana na Israel.Warusha maroketi wanapotaka.Netanyahu aitisha kikao kujadili hali isiyokawaida.

Hesbullah mbona kama wao ndio wanaooumizwa zaidi. Wao wanatia hofu, israel ikijibu inaua kabisa kuanzia watoto hadi makamanda wakuu.
View attachment 3078558
Hapa inaonyesha wananchi wanataharuki, pia vyuo vikuu vimefungwa. Mbinu yao inaweza kuwa na faida maana inafanya pasikalike huko kaskazini. Israel ifike wakati ijitanue iteke kabisa Lebanoni yote.
Israel huwa hawaonyeshi madhara wanayoyayapa. Ni marufuku kwa mwandishi kutoa ripoti mbaya shidi ya Israel
 
Kwahiyo webabu,Mimi nikimuuwa baba yako.wewe unakuja kulusha mawe juu ya paa la nyumba yangu Kisha unajipongeza kuwa umelipa kisasi?
20231103_234657.jpg
 
Umechanganya mambo na picha.
Ambako hakukaliki kwa sasa ni kaskazini ya Israel na hao unaowaona ni mayahudi wakikimbizana kuingia mashimoni mwao.
Umemsaidia sana na nijuu yake sasa kuangalia vizuri na kutafakari upya.
 
Kuna mambo wengi hatufahamu. Kwanza askari wakiuwawa Huwa haisemwi na jeshi husika ndio maana hutasikia Israel ikisema askari wake wameuwawa na pale inakuwa bayana husemwa idadi ndogo sana.

Hii vita ina malengo mawili makubwa kama ni mfuatiliaji
1. Kuidhoofisha Israel kiuchumi na kijeshi. Suala La kiuchumi tayari madhara ni makubwa upande wa kaskazini hakuna kinachofanyika na watu wamehamishwa kabisa(wakimbizi wa ndani), upande wa Yerusalem hivyo hivyo pia. Uchumi wa Israel umeshuka zaidi ya 25% soma taarifa za IMF.
Kijeshi Kuna aina mbili: Moja Hezibolla wanatuma makombora ya USD23,000 Israel na washirika wanatumia Iron doom missiles za USD300,000 kutungua makombora hayo. Lakini pia battery and launchers zinachoka na zinahitaji repair mantanance marakwa mara na hata replacement hii ni gharama kubwa lakini pia zinapokuwa zimechoka zinatengeneza gap kuruhusu maboom mengine kupitia.
Hii inafanya mifumo ya ulinzi kuonekana silolote na kupoteza soko ama ile trust iliyokuwepo. Kwa hili wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa pia.
La pili la kijeshi na kuangalia utayari wa jeshi la Israel na uwezo wa kuhimili vita kwa muda mrefu na military techniques za wazayuni.

2. Kupitia hizi vita wanataka kuunganisha waarab na kuwa na kauli Moja dhidi ya Wazayuni. kwanza wameonesha Israel iliyokuwa inasemekana ni tishio sio tishio Tena kwa Sasa kama ilivyokua kabla ya ViTa. lakini pia wakiungana hawatakuwa wanyonge Tena na kuweza kudhibiti maeneo yao dhidi ya Wazayuni na washirika wao. Hili nalo wanafamikiwa ila sio kwa kiwango tarajiwa.

Hayo ni baadhi ya malengo ikiwa ni pamoja na testing ground ya baadhi ya silaha.
 
Kuna mambo wengi hatufahamu. Kwanza askari wakiuwawa Huwa haisemwi na jeshi husika ndio maana hutasikia Israel ikisema askari wake wameuwawa na pale inakuwa bayana husemwa idadi ndogo sana.

Hii vitu Zina malengo mawili kama ni mfuatikiaji
1. Kuidhoofisha Israel kiuchumi na kijeshi. Suala La kiuchumi tayari madhara ni makubwa upande wa kaskazini hakuna kinachofanyika na watu wamehamishwa kabisa(wakimbizi wa ndani) upande wa Yerusalem hivyo hivyo pia. Uchumi wa Israel umeshuka zaidi ya 25% soma taarifa za IMF.
Kijeshi Kuna aina mbili Moja Hezibollor wanatuma makombora ya USD23,000 Israel na washirika wanatuma Iron doom missiles za USD300,000 kufungua lakini pia battery and launchers zinachoka zinahitaji repair mantanance and replacement hii ni gharama kubwa lakini pia zinapokuwa zimechoka zinatengeneza gap kuruhusu maboom mengine kupitia.
Hii inafanya mifumo ya ulinzi kuonekana silolote na kupoteza soko ama ile trust iliyokuwepo. Kwa hili wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa pia.

2. Kupitia hizi vita wanataka kuunganisha waarab kwanza wameonesha Israel iliyokuwa inasemekana ni tishio sio tishio Tena lakini pia wakiungana hawatakuwa wanyonge Tena. Hili nalo wanafamikiwa ila sio kwa kiwango tarajiwa.

Hayo ni baadhi ya malengo ikiwa ni pamoja na testing ground ya baadhi ya silaha.
Jeshi limekataza media kupublish picha au video za mashambulizi kwenye maeneo ya kimkakati na majengo ya serikali.
 
Daah nyie jamaa ni vichwa vibovu kweli!!
Umeongelea mashambulizi ya Hezbollah alfajiri ya Leo ukasema Kuna IDF kadhaa wamekufa nikakuomba source Kisha unaniletea idadi ya IDF waliofariki toka Oct 7.
Suala ilikuwa ni fashifashi za hizbullah kwamba hazina madhara.
tangu oktoba wanarusha hizo hizo.Kama umekubali kuwa oktoba walikufa basi na leo ikitajwa mwezi ujao lazima ukubali pia.
 
Kwani lini walikua waoga?
Hapo zamani ilipotajwa kuwa Israel inaona kila kitu na akitekwa mtu wao basi watampata tu kama ilivyokuwa kule Entebe.
Hizbullah baada ya kuona Hamas wamepenya mpaka kwenye kambi za Israel na kuondoka na mateka ambao wamewaficha mpaka leo na wao wakaona kumbe hamna neno.
 
Kumbe zamani. Mi naona tangu October 8 Hezbollah wanamwaga moto tu kadiri siku zinavokwenda.
 
Huko Israel Leo ni kilio Hezbollah kashambulia HQ za mossad, Shinbet na Military intelligence kwa pamoja. Israeli imepiga marufuku taarifa hizi kuchapishwa. Anaripoti mwandishi wa BBC kutoka Lebanon.

Netanyahu kachanganyikiwa baada ya kudanganya Dunia kuwa IDF imefanya preemptive strike kwa Hezbollah watu wanajiuliza hawa Hezbollah wamatokea wapi Tena?

Najiandaa hapa kusikia hotuba ya mtu wa maana kabisa mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah.
 
dalili za kuchanganyikiwa zimeonekana wazi leo,Amelidanganya mpaka bunge lake
 
Hesbullah mbona kama wao ndio wanaooumizwa zaidi. Wao wanatia hofu, israel ikijibu inaua kabisa kuanzia watoto hadi makamanda wakuu.
View attachment 3078558
Hapa inaonyesha wananchi wanataharuki, pia vyuo vikuu vimefungwa. Mbinu yao inaweza kuwa na faida maana inafanya pasikalike huko kaskazini. Israel ifike wakati ijitanue iteke kabisa Lebanoni yote.
Haha hizo picture ni Israel dogo wacha ujinga , kwanza South Lebanon hawavai hivyo hata siku moja. Punguzeni uwongo wakristo, hizo mvua za jana kutokea Lebanon kuelekea kwenye target .
 
Back
Top Bottom