Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kawaulize wazayuni wanaokaa kaskazini mwa mayahudi ndio utajua athari gani imepatikanwaIssue sio kurusha hayo mafashi fashi tunataka kusikia yameleta madhara gani? Kama kurusha mbona Toka Oct 7 wanarusha tu?
Israel huwa hawaonyeshi madhara wanayoyayapa. Ni marufuku kwa mwandishi kutoa ripoti mbaya shidi ya IsraelHesbullah mbona kama wao ndio wanaooumizwa zaidi. Wao wanatia hofu, israel ikijibu inaua kabisa kuanzia watoto hadi makamanda wakuu.
View attachment 3078558
Hapa inaonyesha wananchi wanataharuki, pia vyuo vikuu vimefungwa. Mbinu yao inaweza kuwa na faida maana inafanya pasikalike huko kaskazini. Israel ifike wakati ijitanue iteke kabisa Lebanoni yote.
Daah nyie jamaa ni vichwa vibovu kweli!!Authorities name 700 soldiers, 63 police officers killed in Gaza war
Kati ya hao wengine yamewakuta kaskazini ya Israel na wote wamekufa kwa fashifashi.
View attachment 3078578
Kwahiyo webabu,Mimi nikimuuwa baba yako.wewe unakuja kulusha mawe juu ya paa la nyumba yangu Kisha unajipongeza kuwa umelipa kisasi?
i tunataka kusikia yameleta madhara gani?
Wao kila siku wanarusha bila mafanikio.
Umemsaidia sana na nijuu yake sasa kuangalia vizuri na kutafakari upya.Umechanganya mambo na picha.
Ambako hakukaliki kwa sasa ni kaskazini ya Israel na hao unaowaona ni mayahudi wakikimbizana kuingia mashimoni mwao.
Jeshi limekataza media kupublish picha au video za mashambulizi kwenye maeneo ya kimkakati na majengo ya serikali.Kuna mambo wengi hatufahamu. Kwanza askari wakiuwawa Huwa haisemwi na jeshi husika ndio maana hutasikia Israel ikisema askari wake wameuwawa na pale inakuwa bayana husemwa idadi ndogo sana.
Hii vitu Zina malengo mawili kama ni mfuatikiaji
1. Kuidhoofisha Israel kiuchumi na kijeshi. Suala La kiuchumi tayari madhara ni makubwa upande wa kaskazini hakuna kinachofanyika na watu wamehamishwa kabisa(wakimbizi wa ndani) upande wa Yerusalem hivyo hivyo pia. Uchumi wa Israel umeshuka zaidi ya 25% soma taarifa za IMF.
Kijeshi Kuna aina mbili Moja Hezibollor wanatuma makombora ya USD23,000 Israel na washirika wanatuma Iron doom missiles za USD300,000 kufungua lakini pia battery and launchers zinachoka zinahitaji repair mantanance and replacement hii ni gharama kubwa lakini pia zinapokuwa zimechoka zinatengeneza gap kuruhusu maboom mengine kupitia.
Hii inafanya mifumo ya ulinzi kuonekana silolote na kupoteza soko ama ile trust iliyokuwepo. Kwa hili wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa pia.
2. Kupitia hizi vita wanataka kuunganisha waarab kwanza wameonesha Israel iliyokuwa inasemekana ni tishio sio tishio Tena lakini pia wakiungana hawatakuwa wanyonge Tena. Hili nalo wanafamikiwa ila sio kwa kiwango tarajiwa.
Hayo ni baadhi ya malengo ikiwa ni pamoja na testing ground ya baadhi ya silaha.
320 kwa 22600 Kisha unajipa ushindi?
Umesema hezbulah wameua askari kadhaa ghafla umebadilisha gia umeleta habari za gaza
Suala ilikuwa ni fashifashi za hizbullah kwamba hazina madhara.Daah nyie jamaa ni vichwa vibovu kweli!!
Umeongelea mashambulizi ya Hezbollah alfajiri ya Leo ukasema Kuna IDF kadhaa wamekufa nikakuomba source Kisha unaniletea idadi ya IDF waliofariki toka Oct 7.
Hapo zamani ilipotajwa kuwa Israel inaona kila kitu na akitekwa mtu wao basi watampata tu kama ilivyokuwa kule Entebe.Kwani lini walikua waoga?
Kumbe zamani. Mi naona tangu October 8 Hezbollah wanamwaga moto tu kadiri siku zinavokwenda.Hapo zamani ilipotajwa kuwa Israel inaona kila kitu na akitekwa mtu wao basi watampata tu kama ilivyokuwa kule Entebe.
Hizbullah baada ya kuona Hamas wamepenya mpaka kwenye kambi za Israel na kuondoka na mateka ambao wamewaficha mpaka leo na wao wakaona kumbe hamna neno.
dalili za kuchanganyikiwa zimeonekana wazi leo,Amelidanganya mpaka bunge lakeHuko Israel Leo ni kilio Hezbollah kashambulia HQ za mossad, Shinbet na Military intelligence kwa pamoja. Israeli imepiga marufuku taarifa hizi kuchapishwa. Anaripoti mwandishi wa BBC kutoka Lebanon.
Netanyahu kachanganyikiwa baada ya kudanganya Dunia kuwa IDF imefanya preemptive strike kwa Hezbollah watu wanajiuliza hawa Hezbollah wamatokea wapi Tena?
Najiandaa hapa kusikia hotuba ya mtu wa maana kabisa mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah.
Haha hizo picture ni Israel dogo wacha ujinga , kwanza South Lebanon hawavai hivyo hata siku moja. Punguzeni uwongo wakristo, hizo mvua za jana kutokea Lebanon kuelekea kwenye target .Hesbullah mbona kama wao ndio wanaooumizwa zaidi. Wao wanatia hofu, israel ikijibu inaua kabisa kuanzia watoto hadi makamanda wakuu.
View attachment 3078558
Hapa inaonyesha wananchi wanataharuki, pia vyuo vikuu vimefungwa. Mbinu yao inaweza kuwa na faida maana inafanya pasikalike huko kaskazini. Israel ifike wakati ijitanue iteke kabisa Lebanoni yote.