Hi

Nashukuru sana kwa wote mlionitolea maneno mabaya ambayo cjaridhishwa nayo labda2 niwajb kwamba kwann mcnge niambia2 nimekosea kulikoni kunipa maneno km hayo? Me huwa Nina heshima situkanan na mtu ila2 naomba km unahic umetoa neno lolote ambalo co zuri nitake radhi nitakusamehe

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Hebu relax hakuna haja ya wewe kupaniki. Humu utayaona mengi zaidi ya Hayo uliyoyaona Leo.

Vumilia tu hii ndio JF. Usingeweka picha pia wangekwambia weka picha. Punguza hasira ili ufaidi JF
 
Sina hasira hata kidogo nlichogundua ni kwamba watu wanasema hapa panahitajika akili tu co sura yaan great thinkers sasa kivp tutakuwa ma great thinkers kam2 akikosea tutashindwa kumuelimisha? Badala yake tunamkejeli bd hatujawa ma great thinkers.....
 
Ngoja nikwambie kitu humu JF tupo Watu wa Kila aina. Don't take so serious.

Kuna wengine wanatingishwa zaidi yako. Nakushauri tu potezea halafu endelea kufatilia mijadala humu utaona mengi zaidi.
 
Hilo ghetto halifai kwa game za 18+ maana sio sound proof utamlaza jirani tongo macho.
 
umenikumbusha kabla sijaingia humu ndani nilitumia mda sana kujifunza nini kinatakiwa na nini watu hawataki! ila kingine ukitaka usikosolewe usiandike vifupisho kama facebook
mfano ki2__kitu
ndo nilichojifunza vinginevyo karibu kamanda
 
Naombeni radhi lakini kwan hamjuhi mgeni huwa anakosea makamanda nitazoea tu na nitakuwa kama nyie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…