Hichi kipengele cha Health Insurance €30,000 Schegen visa tunakirukaje

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.

Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.

Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Screenshot_20230707-064852_1.jpg

Moderator nisaidie kupunguza izo sifuri tatu za mwisho kwenye title ya uzi, isomeka £30,000 na sio £30,000,000 kama ilivyo sasa.
 
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.

Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000,000 sawa na Tsh 80m.

Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Unaenda kukaa muda gani huko? Tuanzie hapo. Kama ni muda mfupi nenda Kwa travel agent gharama haizidi 100,000/= TZS
 
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.

Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000,000 sawa na Tsh 80m.

Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Hii ni ya Zimbabwe au Pound ya wapi?

Halafu sheghen countries si wanatumia euro?

Ni kama USD 50 tu kwa last time nimekata.
 
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.

Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.

Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Mh, aisee hapo inabidi uwe makini, naona kabisa unaenda kuvunwa.
 
Back
Top Bottom