Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
- Thread starter
- #61
Sijatoka kwenye concept ya Illegal migrationMexico ni Marekani tunazungumzia Europe my friend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijatoka kwenye concept ya Illegal migrationMexico ni Marekani tunazungumzia Europe my friend
Hivi karibuni nimekuja kugundua kuwa mtu akitaja neno "nyingi" uwa hana hana uahakika na anachokisema.Jela ya wakimbimbizi ziko nyingi ulaya
Jera ya wakimbimbizi, unajua mkumbizi ni nani?Jela ya wakimbimbizi ziko nyingi ulaya
Hayupo kihalali kivipi wakati ana valid viza?Kwa hiyo hayuko kihalali hope Ufaransa siku mambo yakiwa mabaya atalia na kusaga meno
Mkimbizi anapewa hifadhi na shelter na siyo kupelekwa jela.Jera ya wakimbimbizi, unajua mkumbizi ni nani?
Huyo ameajiriwa Tanzania na ana visa ya muda hana haki ya kuishi ulaya bila bosi wakeHayupo kihalali kivipi wakati ana valid viza?
Tatizo menu mnadhani hao wazungu wenyewe si kila kitu wamenyooka haiko hivyo, ndio maana kwakuwa amewekeza Tanzania anachukuwa Mtanzania ambaye hatomsumbuwa wala kudai haki nyingi kama raia wa European Union.
Nchi gani hiyo inafanya hivyo??Mkimbizi anapewa hifadhi na shelter na siyo kupelekwa jela.
Apply hiyo kazi kwanza ukishapata ndio uombe ufadhili unaotaka.Wakuu ninataka niende Denmark kunajob ninataka niapply ila tatizo gharama ya visa nauli na mtihani wa English pale British council, lakini passport ninayo,vip kunanamna ya mashirika au sehemu wanafund hii kitu,wakuu msaada tafadhari
Hakuna mwambie mwajiri akufafhili kama anakuhitaji je ni kazi ngani hiyo Denmark ya kukuhitaji wewe??Wakuu ninataka niende Denmark kunajob ninataka niapply ila tatizo gharama ya visa nauli na mtihani wa English pale British council, lakini passport ninayo,vip kunanamna ya mashirika au sehemu wanafund hii kitu,wakuu msaada tafadhari
Wewe hujui unachokiandika, umewahi kuishi nchi gani nje ya Tanzania? Maana tusipotezeane muda na watu wa documentary za DstvHuyo ameajiriwa Tanzania na ana visa ya muda hana haki ya kuishi ulaya bila bosi wake
Insurance ya Euro 30,000 haina maana utalipa hizo, tafuta kampuni ya travel insurance utaweza kukuta unalipa Shs 200,000 tu. Ninapokaribisha ndugu zangu kunitembelea Marekani huwalipia insurance ya $50,000 kila mmoja na huwa inanigharimu kama $250 tu kwa watu wawili kwa mwezi mmoja.Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
View attachment 2680634
Moderator nisaidie kupunguza izo sifuri tatu za mwisho kwenye title ya uzi, isomeka £30,000 na sio £30,000,000 kama ilivyo sasa.
€ 300 nyingi sana ni 300 usd.€30,000 sawa na Tsh 80m.
Mimi nimeishi Ujerumani na nazungumza kijerumani kama Kiswahili, Nimeishi Marekani na nimemiliki mashamba makubwa ya ya ranch za ngombe angus na nimeishi ufaransa, Uswiss Italia na nimetembea duniani karibu kote siishi Tanzania nilizaliwa Tanganyika na nikaja kuwekeza Magufuli akaniletea ushenzi nikaondoka kwa hiyo najaribu kufuatia mambo ya Tanganyika ili kama kuna uwezo niajiri watu kutoka Tanganyika katika mashamba na hotel zangu ulaya lakini naona Watanzania wengi wana maneno tu na sio mathbuti katika kazi na kuwa wakweli uongo na unafiki mwingiWewe hujui unachokiandika, umewahi kuishi nchi gani nje ya Tanzania? Maana tusipotezeane muda na watu wa documentary za Dstv
Una jitahidi kuwa kama kiduku lakini bado sana, labda uko level za maprosoo wa magazeti ya shigongo.Mimi nimeishi Ujerumani na nazungumza kijerumani kama Kiswahili, Nimeishi Marekani na nimemiliki mashamba makubwa ya ya ranch za ngombe angus na nimeishi ufaransa, Uswiss Italia na nimetembea duniani karibu kote siishi Tanzania nilizaliwa Tanganyika na nikaja kuwekeza Magufuli akaniletea ushenzi nikaondoka kwa hiyo najaribu kufuatia mambo ya Tanganyika ili kama kuna uwezo niajiri watu kutoka Tanganyika katika mashamba na hotel zangu ulaya lakini naona Watanzania wengi wana maneno tu na sio mathbuti katika kazi na kuwa wakweli uongo na unafiki mwingi
Hivi una elimu ya darasa la ngapi?? Tumia Mtandao kujielimisha na utaelewa kabisa jinsi ya kutafuta kazi ulaya na kama una ujuzi unaoeleweka na vyeti ambavyo sio fake utapata kazi nzuri tu lakini Watanzania wengi ni walio na walakini katika elimu na vyeti vyao na huwa ukweli unakuwa adimu sana ni afadhali useme sijui nifundishe kuliko kusema unajua na hujui??!!Je una leseni ya gari ya kweli na sio ya kununua kwa trafiki police??Unaweza kuendesha gari??Hivi karibuni nimekuja kugundua kuwa mtu akitaja neno "nyingi" uwa hana hana uahakika na anachokisema.
Kama unauwakika nitajie hata detation center moja unayoijua nchin Europe bila ku-google.
Eric Shigongo ana akili na ameweza kujimidu bila shida Nafikiri kukuelewesha wewe ni kama kukuelewesha chizi kwa hiyo endelea kusubiri embe chini ya mnaziUna jitahidi kuwa kama kiduku lakini bado sana, labda uko level za maprosoo wa magazeti ya shigongo.
Swahili ujajibu umekimbilia kwenye elimu na leseni, we ni hatari zaidi ya mbuHivi una elimu ya darasa la ngapi?? Tumia Mtandao kujielimisha na utaelewa kabisa jinsi ya kutafuta kazi ulaya na kama una ujuzi unaoeleweka na vyeti ambavyo sio fake utapata kazi nzuri tu lakini Watanzania wengi ni walio na walakini katika elimu na vyeti vyao na huwa ukweli unakuwa adimu sana ni afadhali useme sijui nifundishe kuliko kusema unajua na hujui??!!Je una leseni ya gari ya kweli na sio ya kununua kwa trafiki police??Unaweza kuendesha gari??
Basi huyu atakuwa ni virus.Swahili ujajibu umekimbilia kwenye elimu na leseni, we ni hatari zaidi ya mbu
Naomba Promo code ya mahotel yako ndugu yangu kwani mimi husafiri mara kwa mara sana. Nitafurahi kukaa kwenye hoteli ya mswahili mwenzangu siku moja nikiwan Ulaya.Mimi nimeishi Ujerumani na nazungumza kijerumani kama Kiswahili, Nimeishi Marekani na nimemiliki mashamba makubwa ya ya ranch za ngombe angus na nimeishi ufaransa, Uswiss Italia na nimetembea duniani karibu kote siishi Tanzania nilizaliwa Tanganyika na nikaja kuwekeza Magufuli akaniletea ushenzi nikaondoka kwa hiyo najaribu kufuatia mambo ya Tanganyika ili kama kuna uwezo niajiri watu kutoka Tanganyika katika mashamba na hotel zangu ulaya lakini naona Watanzania wengi wana maneno tu na sio mathbuti katika kazi na kuwa wakweli uongo na unafiki mwingi