Kwa hiyo yeye ni house boy?? Housekeeper kistaarabu hizo kazi ziko nyingi lakini inabidi ujue jinsi ya kufanya usafi vile vile muulize atakwambia .Usitishe watu mkuu, lugha hakuna aliyezaliwa nayo, lugha unajifunza Tena nchi ambayo hawatumii Kingereza unajifunza lugha kwa haraka.
Hizi kazi non professional jobs wala hazina strictly ya lugha, unajifunza lugha humohumo.
Kuna Dogo wangu yupo Nice France katoka Bongo hata Kingereza chenyewe cha kuungaunga sema uzuri yule Mungu aliyemchukuwa anaongea kiswahili, kwahiyo yupo France na sasa anaongea kifaransa amejifunza akiwa Ufaransa Tena yeye ni mpishi wa tycoon house, imagine hiyo Nyumbani haikosi wageni na wewe ndio uwasikilize na uwahudumie na amejuwa lugha kwa kuishi nao tu.