Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
France.Uliomba kupitia ubozi wa nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
France.Uliomba kupitia ubozi wa nchi gani?
Travel agent.ulikatie wap?
Ulivyo MpuuziiiiiiiKama unatafuta mabasha wa kukupakuwa tafuta kwenye app za badoo au tinder huko, Mimi sideal na mashoga.
Spain au France visa zao hazisumbui unaweza kufatilia muda mchache tuu unaipata...Wewe huwa unapenda kusema uongo. Una hela ya kununua tiketi ya kwenda majuu wewe?
France unachukuwa tourist viza ya Sheghen lakini lazima uingilie France kwanza kabla ya kwenda hizo nchi nyingine.Spain au France visa zao hazisumbui unaweza kufatilia muda mchache tuu unaipata...
Nipe mchongo wa Spain! Unahitaji invitation letter?Spain au France visa zao hazisumbui unaweza kufatilia muda mchache tuu unaipata...
Cheki kwenye mtandao wao mimi natumia kampuni kwa hiyo sijui mambo mengi wanayohitaji..Nipe mchongo wa Spain! Unahitaji invitation letter?
Sheria ya viza za Sheghen zinataka Nchi utakayo kaa siku nyingi ndiyo hiyo unaombea viza!!France unachukuwa tourist viza ya Sheghen lakini lazima uingilie France kwanza kabla ya kwenda hizo nchi nyingine.
Huwezi kwenda ulaya bila kuwa na main destination,Sheria ya viza za Sheghen zinataka Nchi utakayo kaa siku nyingi ndiyo hiyo unaombea viza!!
Viza ya kualikwa na mzawa haina mashariti magumu Kama viza za tourist na student! Alafu Dr nakukumbusha tu Ulaya haiko Sheghen!!Huwezi kwenda ulaya bila kuwa na main destination,
Main destination yako ndio unayoombea viza na ndio unakuwa na supporting documents zako za kupewa viza.
Usidhani wazungu ni wajinga kuondowa border kwenye nchi zao za Shenghen, wameweka standard nchi yoyote kati yao itakayokupa viza basi una sifa ya kuingia nchi zote kuondowa urasimu.
Uzuri wa France invitation yangu ilitumwa direct ubalozini kwao Dar na anayenialika ni mzungu mwenzao wanamjuwa vizuri na Tanzania ilimpa ubalozi wa heshima Nice France, kwahiyo ni viza ya kuokota tu.
Maana usije ukaomba viza ya Ulaya ukataka kwenda Sheghen!!!Viza ya kualikwa na mzawa haina mashariti magumu Kama viza za tourist na student! Alafu Dr nakukumbusha tu Ulaya haiko Sheghen!!
Sijakuelewa unaposema ulaya haipo Shenghen una maanisha nini?Viza ya kualikwa na mzawa haina mashariti magumu Kama viza za tourist na student! Alafu Dr nakukumbusha tu Ulaya haiko Sheghen!!
Sidhani kama unakijuwa ulichokiandika, Shenghen countries ni nchi 26 za ulaya.Maana usije ukaomba viza ya Ulaya ukataka kwenda Sheghen!!!
Ukishaingia ngoma unaicheza humo humo, tourist viza ndio njia rahisi kama huna mtu wa kukugurentee invitation na kuthibitisha kukuhudumia ukiwa Shenghen countries.Nauliza tu. Ukiingia na tourist Visa unaweza kubadili na kuanza KUSAKA maisha?
Tatizo ni je una ujuzi wowote wa kazi maalum na lugha unafahamu ulipo fikia nchi za shengen hawafahamu kingereza au Kiswahili au kimangungwe je utafanyaje kazi bila lugha?? Itabidi ufanye kazi za shambani au ukuli au kufagia barabara hata hizo unahitaji ujuzi na za hotelini au upishi ni ngumu unataji uzoefu labda aliekualika akusaidie mpaka lini na wabongo hawataki kazi za kubeba boxi kwa hiyo maisha ulaya yatakuwa magumu sana na mwenyeji mwisho atakufukuza kwa uzembe wako kwani yeye ndio itabidi alipe serikalini kama una shida huo ndio ukweliUkishaingia ngoma unaicheza humo humo, tourist viza ndio njia rahisi kama huna mtu wa kukugurentee invitation na kuthibitisha kukuhudumia ukiwa Shenghen countries.
Ni viza rahisi sana kama unaalikwa na raia wa Shenghen kule kuna form anajaza kudeclare atakuhost kwa kila kitu shughuri imeisha.
Ndio maana unaona hawa marasta wanaovuta bangi na wazungu wakiwachukuwa kwenda nao ulaya hakuna usumbufu wowote.
Kwa kifupi ni kwamba viza ya nchi za ulaya kama unaalikwa na raia au Mgeni mwenye makazi ya kudumu yeye ndio anakuombea viza wewe ubalozini unapekeka application tu. Na kupewa viza yako.
Usitishe watu mkuu, lugha hakuna aliyezaliwa nayo, lugha unajifunza Tena nchi ambayo hawatumii Kingereza unajifunza lugha kwa haraka.Tatizo ni je una ujuzi wowote wa kazi maalum na lugha unafahamu ulipo fikia nchi za shengen hawafahamu kingereza au Kiswahili au kimangungwe je utafanyaje kazi bila lugha?? Itabidi ufanye kazi za shambani au ukuli au kufagia barabara hata hizo unahitaji ujuzi na za hotelini au upishi ni ngumu unataji uzoefu labda aliekualika akusaidie mpaka lini na wabongo hawataki kazi za kubeba boxi kwa hiyo maisha ulaya yatakuwa magumu sana na mwenyeji mwisho atakufukuza kwa uzembe wako kwani yeye ndio itabidi alipe serikalini kama una shida huo ndio ukweli
kwa mwezi ni euro 62 minimumWadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
View attachment 2680634
Moderator nisaidie kupunguza izo sifuri tatu za mwisho kwenye title ya uzi, isomeka £30,000 na sio £30,000,000 kama ilivyo sasa.