Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Unaenda kukaa muda gani huko? Tuanzie hapo. Kama ni muda mfupi nenda Kwa travel agent gharama haizidi 100,000/= TZSWadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Mambo si ndio haya sasaUnaenda kukaa muda gani huko? Tuanzie hapo. Kama ni muda mfupi nenda Kwa travel agent gharama haizidi 100,000/= TZS
Wapigie RISE TRAVEL 0679600654 wapo Dar Free MarketMambo si ndio haya..
Any recommendation ya wapi nitampata uyo travel agent.
Ngoja niishi naoWapigie RISE TRAVEL 0679600654 wapo Dar Free Market
NitashukuruI remember nilikata online for around 23USD.
Nikipata link ntakutumia private
€30,000,000 sawa na Tsh 80m.
Hyo rate ya nchi gan??Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Hii ni ya Zimbabwe au Pound ya wapi?Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Wenge we lisikie tuHyo rate ya nchi gan??
Uliomba kupitia ubozi wa nchi gani?Hii ni ya Zimbabwe au Pound ya wapi?
Halafu sheghen countries si wanatumia euro?
Ni kama USD 50 tu kwa last time nimekata.
Hii ni ya Zimbabwe au Pound ya wapi?
Halafu sheghen countries si wanatumia euro?
Ni kama USD 50 tu kwa last time nimekata.
Mh, aisee hapo inabidi uwe makini, naona kabisa unaenda kuvunwa.Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Naweza dhani napanda kumbe ndio navunwa😂🤣 au sioMh, aisee hapo inabidi uwe makini, naona kabisa unaenda kuvunwa.
Wewe huwa unapenda kusema uongo. Una hela ya kununua tiketi ya kwenda majuu wewe?Hii ni ya Zimbabwe au Pound ya wapi?
Halafu sheghen countries si wanatumia euro?
Ni kama USD 50 tu kwa last time nimekata.