Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yani hujui kama Tanzania swala la afya ya akili ni serious?Naomba Promo code ya mahotel yako ndugu yangu kwani mimi husafiri mara kwa mara sana. Nitafurahi kukaa kwenye hoteli ya mswahili mwenzangu siku moja nikiwan Ulaya.
Huu utani wa ngumi sasaNaomba Promo code ya mahotel yako ndugu yangu kwani mimi husafiri mara kwa mara sana. Nitafurahi kukaa kwenye hoteli ya mswahili mwenzangu siku moja nikiwan Ulaya.
Mimi sio mswahili mwezako ni bepari na huwezi kukaa kwenye hotel yangu ni gali sana .Naomba Promo code ya mahotel yako ndugu yangu kwani mimi husafiri mara kwa mara sana. Nitafurahi kukaa kwenye hoteli ya mswahili mwenzangu siku moja nikiwan Ulaya.
Mimi ni member wa IHG ndugu yangu; sikai Hilton au Wyatt bure bure. Nilitaka pesa ninazopeleka huko nikuletee wewe. Kama huna hotel ndani ya IHG basi usitambe na huenda hoteli hiyo ya kufikirika haipo kabisa. Inawezekana unauza guest house au uko kwenye mtandao kama AirBnB ambao hata mimi nimo ndani yake baada ya watoto wangu kuondoka nyumbani walipokomaa lakini sisemi nina hoteli.Mimi sio mswahili mwezako ni bepari na huwezi kukaa kwenye hotel yangu ni gali sana .
KumekuchaMimi ni member wa IHG ndugu yangu; sikai Hilton au Wyatt bure bure. Nilitakanpesa ninazopeleka huko nikuletee wewe. Kama huna hotel ndani ya IHG basi usitambe na huenda hoteli hiyo ya kufikiriak haipo kabisa. Inawezekana unauza guest house au uko kwenye mtandao kama AirBnB ambao hata mimi nimo ndani yake baada ya watoto wangu kuondoka nyumbana walipokomaa lakini sise i nina hoteli.
Kwa hiyo tuamke au tuendelee kulala!!??[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]Kumekucha
What is IHG??Mimi ni member wa IHG ndugu yangu; sikai Hilton au Wyatt bure bure. Nilitaka pesa ninazopeleka huko nikuletee wewe. Kama huna hotel ndani ya IHG basi usitambe na huenda hoteli hiyo ya kufikirika haipo kabisa. Inawezekana unauza guest house au uko kwenye mtandao kama AirBnB ambao hata mimi nimo ndani yake baada ya watoto wangu kuondoka nyumbani walipokomaa lakini sisemi nina hoteli.
Airbnb kuna za 12.000$ kwa week sasa kama unaweza hizo karibuMimi ni member wa IHG ndugu yangu; sikai Hilton au Wyatt bure bure. Nilitaka pesa ninazopeleka huko nikuletee wewe. Kama huna hotel ndani ya IHG basi usitambe na huenda hoteli hiyo ya kufikirika haipo kabisa. Inawezekana unauza guest house au uko kwenye mtandao kama AirBnB ambao hata mimi nimo ndani yake baada ya watoto wangu kuondoka nyumbani walipokomaa lakini sisemi nina hoteli.
Hujui IHG ni nini halafu unakuja kujambajamba hapa?What is IHG??
Huyo jamaa Kweli hajamfikia hata kiduku labda kule Kwa maprosooHujui IHG ni nini halafu unakuja kujambajamba hapa?
Mtego Mdogo tu umejaa jinga kabisa.
Kuuliza sio ujinga nini mpumbavu tu atakae jifanya anajua na kama wewe mstaarabu hujibu swali kwa hiyo nimeelewa uwezo wako wa kufiri na kiwango chako cha uelewa ni kidogo sanaHujui IHG ni nini halafu unakuja kujambajamba hapa?
Mtego Mdogo tu umejaa jinga kabisa.
Nchi zao nyingi ndio utaratibu wao huo ukishaingia tu hakuna utaratibu tena wa kusumbuliwa unakokwenda ukitoka hiyo Nchi uliyoombea Visa...France unachukuwa tourist viza ya Sheghen lakini lazima uingilie France kwanza kabla ya kwenda hizo nchi nyingine.
Wewe ntu umensaidia sana. Nimekatia watu wanne Euros 73 imagine