Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.


1652289267590.png
 
Akili ya tajiri Hichilema na mfanyabiashara mkubwa ambae aliukwaa Urais nchini kwake hauwezi kumlinganisha na Magufuli, yaani Zambia. Hakuna wapinzani kukamatwa, kutekwa wala hajafukuza wafanyabiashara kiufupi hana kisasi na mtu amefanya talks na wawekezaji tayari wameongeza kumlipa kodi kwenye kopa
 
 
Strong currency ni msiba kwa nchi maskini na haina msaada kama watu wanavyofikiria, maskini wanahitaji weak currency ili wauze zaidi na ukiuza zaidi maana yake kazi nyingi zaiid kwa watu wako, ni kitu kinachojulikana vizuri sana in Economics, kama una import sana yes you need strong currency lakini kwa nchi maskini unataka export zaidi kuliko import ili kujenga uchumi wako, is complicated lakini in general as a poor nation ni bora kuwa na weak currency
 
Akili ya tajiri hichilema na mfanyabiashara mkubwa ambae aliukwaa Urais nchini kwake hauwezi kumlinganisha na Magufuli, yaani Zambia. Hakuna wapinzani kukamatwa, kutekwa wala hajafukuza wafanyabiashara kiufupi hana kisasi na mtu amefanya talks na wawekezaji tayari wameongeza kumlipa kodi kwenye kopa
Msipende kudanganyana watu jamani kwa mambo msiyoyafahamu.

Nipo Ndola Zambia hadi leo hii zaidi ya wapinzani wa HH wa nne wana kesi za uhujumu uchumi na mali zao zimeshataifishwa.
 
Hichilema ni Magufuli aliyechangamka na kwalo anapitia mule mule alimokuwa anapitia JPM.

Wapinzani wa Hichilema wengi wanapumlia mashine!

ZRA kila uchwao wanataifisha mali za wapinzani wake.

HH ni mtu anayejifanya si wa kulipa kisasi lakini si kweli!
 
Anamaanisha katika kuinua uchumi,yaani mazuri ya JPM.Nadhani Magu amewahisema kua atakumbulwa kwa mazuri.Tafuta clip hiyo.
HH anachukiwa na matajiri wenziye ile mbaya!

Jamaa ni mtu wa visasi kama JPM na wengi wa wafanyabiashara wakubwa hasa ambao picha zilikuwa haziendi anawasumbua kwa kutumia ZRA.
 
HH ana style ya Magu ila kijanja. Makada wa chama tawala mmojammoja anapewa kesi za uhujumu uchumi huku mali zikitaifishwa. Waliokuwa mawaziri sasa hivi tumbo joto. Kisasi cha HH sio poa. Kama hufuatilii siasa za Zambia unaweza ukamwona ni malaika.
 
Back
Top Bottom