Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
...kama siyo wapinzani ni kina nani sasa?!Hao siyo wapinzani. Wakati wewe upo Ndola, mm nipo Lusaka nina info nyingi kuliko wewe.
Wafuasi wa Edgar Lungu sina wapinzani wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...kama siyo wapinzani ni kina nani sasa?!Hao siyo wapinzani. Wakati wewe upo Ndola, mm nipo Lusaka nina info nyingi kuliko wewe.
Je hiyo Zambia Kwacha iliyokuwa strengthened ina uwezo wa kununua nini? Usifanganyike na yale maSIFURI aliyoyatoa Rais Michael Satta (RIP) mwaka 2011/12
Naye anateka na kupoteza raia wake?Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
View attachment 2220919
Usimchafue HH wa Zambia kwa kumfananisha na huyo SHETANI ambaye tulimzika Chato. UNAHARIBU!!Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
View attachment 2220919
Wala habagui wapinzani yeye kwake kila mtu ni muhimu snHichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Kula fiveUsimchafue HH wa Zambia kwa kumfananisha na huyo SHETANI ambaye tulimzika Chato. UNAHARIBU!!
Kufanya maendeleo ya nchi siyo lazima uteke watu na kuwaua!! Siyo lazima unyang'anye fedha za wafanyabiashara na siyo lazima ufukuze watu kazi. Ni UHAYAWANI alikuwa anafanya Magufuli na amekufa nao na tumemzika nao. Tanzania haiwezi tena kutawaliwa na KICHAA
Taahi.ra kama wewe kwa nini usitekwe na kuchi.njwa kabisa, wa kukusikitikia ni mabwabwa na vibaraka wenzako tu, JPM alikuwa kuwanyoosha.Usimchafue HH wa Zambia kwa kumfananisha na huyo SHETANI ambaye tulimzika Chato. UNAHARIBU!!
Kufanya maendeleo ya nchi siyo lazima uteke watu na kuwaua!! Siyo lazima unyang'anye fedha za wafanyabiashara na siyo lazima ufukuze watu kazi. Ni UHAYAWANI alikuwa anafanya Magufuli na amekufa nao na tumemzika nao. Tanzania haiwezi tena kutawaliwa na KICHAA
Kwa hiyo wakifanya makosa waachwe?Msipende kudanganyana watu jamani kwa mambo msiyoyafahamu.
Nipo Ndola Zambia hadi leo hii zaidi ya wapinzani wa HH wa nne wana kesi za uhujumu uchumi na mali zao zimeshataifishwa.
Yeye ndiyo kanyooka hawezi hata kujikunjaTaahi.ra kama wewe kwa nini usitekwe na kuchi.njwa kabisa, wa kukusikitikia ni mabwabwa na vibaraka wenzako tu, JPM alikuwa kuwanyoosha.
Hakuna raisi anaua mtu duniani, ata Hitler hakumfyatulia risasi mzayuni hata mmoja…. Weka hilo akilini mwako na kamwe usije sahau.Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Comment toka kwa marehemu mtarajiwa…jiulize wewe utakufaje!Yeye ndiyo kanyooka hawezi hata kujikunja
Huyu ndiyo alikuwa anateswa na jamii ya mtu aliyekuwepo zamani huko tanzania. Aliteswa kweli mpaka mcha mungu Jk alipoenda kusaidia kuuondoa mzuka uliotaka kungangania.Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Sijawahi kuua mtu wala kumfunga mtu kwa uonevu, kifo changu kitakuwa kizuriComment toka kwa marehemu mtarajiwa…jiulize wewe utakufaje!
Kifo hakina huruma, hata uwe mpole kama kondoo bado utakwenda na maji tu, hata hivyo swala hawezi kuwa simba maisha yake yote.Sijawahi kuua mtu wala kumfunga mtu kwa uonevu, kifo changu kitakuwa kizuri
Huwezi kuua watu kishenzi namna hiyo ukafa watu wasikuseme vibaya, kwani Mkapa na Nyerere hawasemwi vibaya?Kifo hakina huruma, hata uwe mpole kama kondoo bado utakwenda na maji tu, hata hivyo swala hawezi kuwa simba maisha yake yote.
Nafuu sisi katunyoosha, yeye tumempindisha kwenye sanduku na kumzika Chato.Taahi.ra kama wewe kwa nini usitekwe na kuchi.njwa kabisa, wa kukusikitikia ni mabwabwa na vibaraka wenzako tu, JPM alikuwa kuwanyoosha.
Hiyo isiwe excuse kwa kiongozi kunyanyasa watu, kutesa, kuua kisa eti na wewe utakufa!! Kwanza huyo unayemtetea alikuwa anawmini hatakufa ndiyo maana aliiba kura zote za uchaguzi wa S/Mitaa 2019 na ule uchaguzi Mkuu wa 2020 ili atawale milele. Mungu kamuonyesha kuwa Magufuli si chochoteKifo hakina huruma, hata uwe mpole kama kondoo bado utakwenda na maji tu, hata hivyo swala hawezi kuwa simba maisha yake yote.
Hayo uliyopigia mstari mwekundu hayamuhusu Magufuli aliyekuwa anagawa hela barabarani, wa Zambia yeye alikataa mshahara na alikataa polisi wasiojulikana, kosa kubwa sana kuwafananisha wawili hawa.Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
View attachment 2220919