Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

HH ana style ya Magu ila kijanja. Makada wa chama tawala mmojammoja anapewa kesi za uhujumu uchumi huku mali zikitaifishwa. Waliokuwa mawaziri sasa hivi tumbo joto. Kisasi cha HH sio poa. Kama hufuatilii siasa za Zambia unaweza ukamwona ni malaika.
Huyu hana tofouti na JPM, pdf la kutumbua huwa linatoka usiku moja ya watu aliowatumbua usiku wa manane baada ya sherehe za uhuru ni mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa, mzee ana kinyongo kama magufuli tu 😁
 
Hayo ni makosa yaliyofanywa na mtanguliz wake ambaye jamaa anayasahihisha. Ni kwamba Jamaa anabana matumizi yasiyokuwaya lazima, halafu anawekeza kwenye miundombinu. Hiyo ndiyo njia ya serikali kujenga nchi, siyo hii ya kugawana hela hovyo hovyo kwa malipo yasiyokuwa na umuhimu wowote na kudai kuwa unangeza hela kwenye mzunguko. Hela kwenye mzunguka huletwa na shughuli za kiuchumi, hazigawiwiw na serikali kiyenyeji enyeji tu.
Excuses as usual,mda wa fungate unaenda Kasi sana na uchaguzi ukifika sijui kama hiyo itakuwa ndio sera au laa..
 
Tatizo kubwa ni wapingaji huwa hawaangalii wala kusoma hayo madude wao ni kutekwa, kuua na nk, ndiyo evidence zao.
 
Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Hapa tunaongelea shughuli zakujenga uchumi wa nchi, wewe unaleta siasa za chuki zilizopitwa na wakati. Nchi itajengwa kwa kuzuia matumizi yasiyo ya lazima na kuwekeza kwenye ujenzi wa miundo mbinu; siyo kwa viongozi kupiga safari za nje za kila siku, kufanya mikutano na warsha kwa kutumia hela za walipa kodi hovyohovyo au kwa kucheza sinema.
 
Anamaanisha katika kuinua uchumi, yaani mazuri ya JPM. Nadhani Magu amewahisema kua atakumbulwa kwa mazuri. Tafuta clip hiyo.
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Duh.. Kwa hiyo na yeye anateka, anaua na kufunga wapinzani kama JPM
Yule Rais aliyefunga bado yupo Zambia au kakimbia? Maana kesi ya uhujumu uchumi inamhusu
 
Msipende kudanganyana watu jamani kwa mambo msiyoyafahamu.

Nipo Ndola Zambia hadi leo hii zaidi ya wapinzani wa HH wa nne wana kesi za uhujumu uchumi na mali zao zimeshataifishwa.

Tutolee uongo wako hapa
 
Magu hakuwa rais,alisema hakujinandaa pia.So tuliongozwa na kivuli cha ntu njinga nchana
 
JPM aliiheshimisha Tz utake usitake. Hawa ndo wana wa afrika wanaohitajika na si wala bugger na popcorn, shenzi taipu nyie akina Hangaya.
 
Msipende kudanganyana watu jamani kwa mambo msiyoyafahamu.

Nipo Ndola Zambia hadi leo hii zaidi ya wapinzani wa HH wa nne wana kesi za uhujumu uchumi na mali zao zimeshataifishwa.
Hao siyo wapinzani. Wakati wewe upo Ndola, mm nipo Lusaka nina info nyingi kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom