Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.

View attachment 2220919
Usimchafue HH wa Zambia kwa kumfananisha na huyo SHETANI ambaye tulimzika Chato. UNAHARIBU!!

Kufanya maendeleo ya nchi siyo lazima uteke watu na kuwaua!! Siyo lazima unyang'anye fedha za wafanyabiashara na siyo lazima ufukuze watu kazi. Ni UHAYAWANI alikuwa anafanya Magufuli na amekufa nao na tumemzika nao. Tanzania haiwezi tena kutawaliwa na KICHAA
 
Kula five
 
Taahi.ra kama wewe kwa nini usitekwe na kuchi.njwa kabisa, wa kukusikitikia ni mabwabwa na vibaraka wenzako tu, JPM alikuwa kuwanyoosha.
 
Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Hakuna raisi anaua mtu duniani, ata Hitler hakumfyatulia risasi mzayuni hata mmoja…. Weka hilo akilini mwako na kamwe usije sahau.
 
Hichilema amepiga bunduki wazambia wangapi , Ameteka wangapi , amebambikia kesi wangapi ?
Huyu ndiyo alikuwa anateswa na jamii ya mtu aliyekuwepo zamani huko tanzania. Aliteswa kweli mpaka mcha mungu Jk alipoenda kusaidia kuuondoa mzuka uliotaka kungangania.
 
Taahi.ra kama wewe kwa nini usitekwe na kuchi.njwa kabisa, wa kukusikitikia ni mabwabwa na vibaraka wenzako tu, JPM alikuwa kuwanyoosha.
Nafuu sisi katunyoosha, yeye tumempindisha kwenye sanduku na kumzika Chato.
 
Kifo hakina huruma, hata uwe mpole kama kondoo bado utakwenda na maji tu, hata hivyo swala hawezi kuwa simba maisha yake yote.
Hiyo isiwe excuse kwa kiongozi kunyanyasa watu, kutesa, kuua kisa eti na wewe utakufa!! Kwanza huyo unayemtetea alikuwa anawmini hatakufa ndiyo maana aliiba kura zote za uchaguzi wa S/Mitaa 2019 na ule uchaguzi Mkuu wa 2020 ili atawale milele. Mungu kamuonyesha kuwa Magufuli si chochote
 
Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.

View attachment 2220919
Hayo uliyopigia mstari mwekundu hayamuhusu Magufuli aliyekuwa anagawa hela barabarani, wa Zambia yeye alikataa mshahara na alikataa polisi wasiojulikana, kosa kubwa sana kuwafananisha wawili hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…