Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba
2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba
3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.
Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia
Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote