msana
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 215
- 307
Hilo jina sijui sukuma gang watu washalichoka wanachora tafuteni swaga mpya 2025 Sio mbali mtakalia kuti kavu muipoteze asali msimu huu watanzania hawatanii mjueYaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.
Anayempima na kumnanga January amakamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.
Hawa sukuma gang tumewastukia.