wazagamba nkoko
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 389
- 998
Stupidity reply [emoji706][emoji706][emoji706]Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.
Anayempima na kumnanga January Makamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.
Hawa sukuma gang tumewastukia.