Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

Kuna mtu fulani mwenye mapungufu makubwa ya kibinadamu aliwahi kuwa rais itakuwa mwanadamu mstaarabu na mwenye akiili January Makamba??
Ushu.i mtupu๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜• labda rais wako na mkeo ๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•watanzania kibao hawampendi na anajulikana kwa upigaji kwa taarifa yako
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Mkuu, andiko lako kwa mara nyingine linatukumbisha ya kwamba "mti wenye matunda ndiyo hupopolewa sana kwa mawe"

Pia wapo vijoka mdimu ambao hukaa kwenye miti ya midimu, hung'ata watu ijapokuwa wao wenyewe hawali ndimu..
 
Wewe. Ngungenge
Je!
Samia Anauza Gas ya Taifa Gas,hiyo anayoinadi Makamba?
Je!
Makamba anatumia ofisi kwa maslahi binafsi,badala ya kutimiza majukumu ya serikali,anatimiza majukumu ya mtu binafsi,halafu tukiwaambia nyinyi vilaza,mnakimbilia Majungu!

Tutajie mafanikio ya Makamba yoyote yale ndani ya hiyo wizara,tangu alipoingia...alivyoikuta na ilipo sasa!

Wezi mkiambiwa ukweli,mnakimbilia kusema mmetumwa na Samia,kwa hiyo Samia kawatuma mkusanye 10% kwa niaba yake sio?

Kuna mradi wa nishati mbadala wa mkaa wa mawe ambao umezinduliwa na Waziri Biteko hivi karibuni.
Kupitia STAMICO.
Nishati ile ni bei rahisi,hata Samia analijua hilo.
Maana alikwisha tembelea STAMICO kupitia Banda lao la maonyesho.
Kwa nini Makamba asiupigie chapuo huo mradi,badala ya Gesi ya Rostam ya Taifa gas hiyo anayoitembeza nchi nzima kwa gharama za Serikali?

Sio kila mtanzania ni mbumbumbu kama mnavyofikiria nyoote na hao mabwana zenu,mnaowatetea humu.

Makamba ameichakaza Tanesco kimkakati,kuanzia utawala hadi kimfumo.

Ili tu achomekee miradi yenye kumpatia 10% akijiandaa kuutafuta urais na ndoto zake za mchana.

That's it......
Gesi anayoisemea makamba ni LNG sio LPG io ni community change program kuwa watu waanze kutumia gesi badala ya mkaa
 
Mkuu, andiko lako kwa mara nyingine linatukumbisha ya kwamba "mti wenye matunda ndiyo hupopolewa sana kwa mawe"

Pia wapo vijoka mdimu ambao hukaa kwenye miti ya midimu, hung'ata watu ijapokuwa wao wenyewe hawali ndimu..
Wanakosea kumshambulis mtu ambaye analeta serious renovation Kwa taifa
Mambo ya uongo uongo yalipitwa na wakati
Kama kweli tanesco wanahujumu serikal sizan kama watabaki salama
 
Na chawa wewe kakulipa nani? Nenda kamwambie huyo upara labda ahame Tanzania hii, huu udhalimu ataulipa.

Tutamkamua tu na pesa ya watanganyika ataitolea matundu yote mwilini kwake, iwe leo, iwe kesho, iwe mtondogoo.
Ninahisi hii ni ID ya Marope
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
nchi ina wapuuzi na wanafiki wengi sana hii
unampima waziri kwa kutumia bwawa la mwalimu nyerere tu?
mm siyo mnufaika wa mtu yeyote serikalini lakini january anasakamwa kwa sababu ALIDUKULIWA na MGUFULI
 
Nakubaliana na mleta mada. Kuna mashambulizi ya kimkakati dhidi ya January na yamekuja baada ya jenereta kuzimwa Kigoma.
 
Kwa sababu mtu alitofautiana na magufuli Basi afai huu ujinga unatakiwa ufike mwisho
Standard haiwezi kuwa magufuli was too light
 
Nakubaliana na mleta mada. Kuna mashambulizi ya kimkakati dhidi ya January na yamekuja baada ya jenereta kuzimwa Kigoma.

Nakubaliana na mleta mada. Kuna mashambulizi ya kimkakati dhidi ya January na yamekuja baada ya jenereta kuzimwa Kigoma.
Fitna za wanufaika wa biashara ya mafuta Sasa wamekosa soko ni kumuandama jamaa
 
Sijui unaishi maeneo gani ambapo umeme hausumbui huenda hujatembea pia!, but kuna watu tunateseka sana juu ya huu umeme unakata hadi sio poa. Pence ukweli pasemwe sio kutetea kilakitu eti kisa ni miongoni mwa wanufaika wachache.
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Umeme umekuwa tatizo. Njaa zenu zitazidi kituletea balaa.
 
Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January Makamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Wewe yaelekea kipindi cha Magufuli ulikua usingizini. Nikufahamishetu kipindi cha Magufuli hatukuona upuuzi kama huu.
 
Hao chawa waliotumwa kumchafua na wewe umekuja kumsafisha tofauti yenu ni nini??
 
Atakuwa rais wa mama yako na baba yako na familia yako wewe lakini sio Tanzania hii .

Mb*a nyie mmejisahau sana,dawa yenu inapikwa soon mtainywa kwa kutaka au kwa kulazimishwa .
M0ini wa shoka (chama) umeshikwa na mama. Utapenyea wapi ??
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Wewe na kipara ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom