Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January amakamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Mfanye rais wa nyumbani kwako
 
Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January amakamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Wakati wa jiwe umeme haukua kama hivi leo
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Mnaudhi sana yani mnavyofanya mchezo na huduma mhimu mnaleta ngonjera na uchawa.
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Wewe. Ngungenge
Je!
Samia Anauza Gas ya Taifa Gas,hiyo anayoinadi Makamba?
Je!
Makamba anatumia ofisi kwa maslahi binafsi,badala ya kutimiza majukumu ya serikali,anatimiza majukumu ya mtu binafsi,halafu tukiwaambia nyinyi vilaza,mnakimbilia Majungu!

Tutajie mafanikio ya Makamba yoyote yale ndani ya hiyo wizara,tangu alipoingia...alivyoikuta na ilipo sasa!

Wezi mkiambiwa ukweli,mnakimbilia kusema mmetumwa na Samia,kwa hiyo Samia kawatuma mkusanye 10% kwa niaba yake sio?

Kuna mradi wa nishati mbadala wa mkaa wa mawe ambao umezinduliwa na Waziri Biteko hivi karibuni.
Kupitia STAMICO.
Nishati ile ni bei rahisi,hata Samia analijua hilo.
Maana alikwisha tembelea STAMICO kupitia Banda lao la maonyesho.
Kwa nini Makamba asiupigie chapuo huo mradi,badala ya Gesi ya Rostam ya Taifa gas hiyo anayoitembeza nchi nzima kwa gharama za Serikali?

Sio kila mtanzania ni mbumbumbu kama mnavyofikiria nyoote na hao mabwana zenu,mnaowatetea humu.

Makamba ameichakaza Tanesco kimkakati,kuanzia utawala hadi kimfumo.

Ili tu achomekee miradi yenye kumpatia 10% akijiandaa kuutafuta urais na ndoto zake za mchana.

That's it......
 
Na chawa wewe kakulipa nani? Nenda kamwambie huyo upara labda ahame Tanzania hii, huu udhalimu ataulipa. Tutamkamua tu na pesa ya watanganyika ataitolea matundu yote mwilini kwake, iwe leo, iwe kesho, iwe mtondogoo.
Na itakuwa hivyo hadi kwa baba yake aliyemvimbisha kichwa hadharani.
 
Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January amakamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Atakuwa rais wa mama yako na baba yako na familia yako wewe lakini sio Tanzania hii .

Mb*a nyie mmejisahau sana,dawa yenu inapikwa soon mtainywa kwa kutaka au kwa kulazimishwa .
 
Gesi hii ikiisha hawa watakuwa na uwezo wa kunuua ingine?? Na je Inawafikiaje?Na je Serikali ya mama Samia mbali na kupata Kodi inanufaika na nini kwa Mtumishi anaelipiwa V8 mafuta ,Nyumba kufanya kazi ya umeneja masoko wa product isiyo zalishwa na taasisi ya Serikali ambayo anaitumikia na kulipwa mshahara??? Tafakari na Chukua hatua
Hawa mb*a wanatuona watanzania wote kama vile ni mahamnazo muda wote.

Ila tu niseme dawa yao inapikwa.l!
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Bado LNG pia!
Sgang wajipange
 
Sasa wewe ndio chawa lenyewe alafu bahati mbaya una njaa sana... hiyo hela uliyopewa uje umkingie kifua jamaa ni ndogo sana. Inanunua hata baiskeli??
 
Atakuwa rais wa mama yako na baba yako na familia yako wewe lakini sio Tanzania hii .

Mb*a nyie mmejisahau sana,dawa yenu inapikwa soon mtainywa kwa kutaka au kwa kulazimishwa .
Sukuma Gang sasa mko kama mbwakoko tu,mnabweka sana lakini hamna madhara tunawapuuza tu.
 
Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January amakamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Heeeee.....mamaaaaaaaaaaa.
Wewe na January wako si mlisama umeme ulikuwa haukatiki kwa sasabu hakukuwa na matengenezo?.

Mmepiga hela za matengenezo na hadi sasa ninapoandika nchi iko gizani na simu yangu imebaki asilimia 20.

#Mtanikumbuka.

Makamba wako hana akili za kutatua mambo magumu, kubali tu hilo, yeye ni mtu wa dili tu.
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Yaani wewe hujielewi kabisa na chawa namba moja. Huu unafiki ndo unaoliangamiza taifa hili. Unaacha kuongelea issues ambacho ni critical kwa sasa wewe unamwongelea mtu.ama kweli simple mind always discuss people. By the way who is makamba! That is poor thinking. Njaa ni mbaya sana mpaka watu wanauza utu wao.
 
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba

2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba

3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.

Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia

Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
huo upuuzi wenu wa kichawa muumalize kwenye vikao vyenu vya ccm.
 
Back
Top Bottom