wazagamba nkoko
JF-Expert Member
- Nov 23, 2021
- 389
- 998
Stupidity reply [emoji706][emoji706][emoji706]Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.
Anayempima na kumnanga January Makamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.
Hawa sukuma gang tumewastukia.
Jamaa wanajiongelesha wewe utadhani tulikuwa Eden sasa tuko Duniani wakti hakuna siku umeme uliwahi kuacha bila kukatika..1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba
2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba
3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.
Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia
Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Unfortunately makaratasi haya define intelligence ya mtu Wala uwezo wake ila nyie takataka ndionategemea makaratasi kama kipimo.cha uwezo wenu mdogo wa kufikiri.Kama havina mantiki mbona hulali unakesha kuvipambana? Na bado. Mtu afeli form 4 (na hapo kaiba mtihani) aende kuunga uunga vyuo vya kata huko ulaya, asomee tuisheni ya kozi ya upatanishi halafu awe na akili ya kuongoza taifa? Aah hatujawa wajinga kiasi hicho
Mikamba ni mbwa tu hana akili yoyote. Unasemaje?Unfortunately makaratasi haya define intelligence ya mtu Wala uwezo wake ila nyie takataka ndionategemea makaratasi kama kipimo.cha uwezo wenu mdogo wa kufikiri.
Na Makam naye kaamua kulipa Machawa na Mademu wake waje kumtetea... Sisi tunakaa pembeni kuacha mchafuane. Mwaka 2025 ni Mama tu.1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba
2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba
3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.
Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia
Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Makamba ana akili? Basi nyie machawa wake mtakuwa bure kabisa. CCM kutoa Rais mwenye akili bado sana.Kuna mtu fulani mwenye mapungufu makubwa ya kibinadamu aliwahi kuwa rais itakuwa mwanadamu mstaarabu na mwenye akiili January Makamba??
Mlete wa kwako tumlinganishe na MakambaMakamba ana akili? Basi nyie machawa wake mtakuwa bure kabisa. CCM kutoa Rais mwenye akili bado sana.
Nasema yeye ndio Waziri wako wa Nishati na huna cha kufanya zaidi ya kupiga kelele kama ngedere 😄😄Mikamba ni mbwa tu hana akili yoyote. Unasemaje?
Usinene ukamara wewe ndezi.Nasema yeye ndio Waziri wako wa Nishati na huna cha kufanya zaidi ya kupiga kelele kama ngedere 😄😄
Ndezi ni baba yakoUsinene ukamara wewe ndezi.
Ndezi ni baba yako
Punguzeni shobo kwa matajili1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba
2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious kiivo machawa wamelipwa kuja juu kumchafua Januari Makamba
3. Wivu ni kitu kibaya sana mlikua na nafasi ya kuendeleza mradi wa Gesi mtwara mkaja na siasa kuwa ule una ufisadi Sasa mmesikia trillion 16 zitapatikana kila mwaka basi wivu unawasumbua hamlali ni January Makamba.
Nawakumbusha tuu
Bado Bomba la mafuta
Bomba la gesi Kenya
Uchimbaji wa mafuta
Bado bandari ya Bagamoyo
Yaani mkae Kwa kutulia
Januari yuko bize kufanya kazi alizotumwa na Rais Samia
Majungu yenu hamtafika popote
Uongozi mtamu wananchi waridhie naona we unazungumzia makali ya shoka Tena ? Ndo mana nakwambia hizo Siasa za kizamani sana Siasa nzuri ridhisha watu njia inakuwa nyepesi sanaMtapita njia gani kumtoa 2025? Hivi unajua makali ya shoka (chama) na mpini wake nani kashika?
Njia huwa inakuwa ngumu kama watu wana mwamko. Lkn kwa hapa Tanzania hakuna shida kabisa hata wadanganyika wakiwa wanalia.Siasa za kizamani sana Siasa nzuri ridhisha watu njia inakuwa nyepesi sana
Aliyekwambia wananchi wanashida na rais Samia nani watu wanawasiwasi na hao chawa waviziaji wanamwangusha Hadi Samia kwa matamaa yaoNjia huwa inakuwa ngumu kama watu wana mwamko. Lkn kwa hapa Tanzania hakuna shida kabisa hata wadanganyika wakiwa wanalia.
Jiwe alifanya ufedhuli wa kutisha hapa lkn wadanganyika waliimba mapambio ya sifa. Ndiyo maana hata rais Samia atapeta tu.