Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Ampunguzie kuondoa haiwezekani mpaka siku ya hukumuAmpunguzie au amuondolee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ampunguzie kuondoa haiwezekani mpaka siku ya hukumuAmpunguzie au amuondolee?
Tina Alcapone lini alistaafu , Papy kakol ndie nguli kwa sasa Congo nyimbo nyingi za werrason ye ndo kapigaCongo DR nzima ukitafuta wapiga Drums ( Wakaanga Chips ) bora waliowahi kutokea na waliopo lazima uanze na hawa....
Mac Macaire alipiga mno na TP Ok Jazz ya Marehemu Franco, kidogo Pepe Kalle na anamalizia kwa Aurlus Mabele.
Awilo Longomba aliyepiga mno na Pepe Kalle.
Titina Alcapone ( a.k.a Le Grand Prete ) aliyepiga mno na Bendi yangu pendwa ya Wenge Musica BCBG yake Kipenzi changu JB Mpiana kabla ya kwenda Kustaafia kwa Bendi ya Quarter Latin yake Koffi Olomide.
Seguen Mignon Maniata huyu anapiga na Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na ndiyo Roho ya Bendi nzima na Kipenzi chake JB Mpiana na Mtu anayeaminika nae zaidi kwani hata Maji ya Kunywa ya JB Mpiana hushikwa nae huyu Seguen mpaka Chakula au Mvinyo wa JB Mpiana awapo katika Tamasha Ukumbini hukaguliwa nae Kwanza huyu Mpiga Drums wake Seguen Mignon Maniata na huyu Seguen akikuchukia ndani ya Bendi hiyo hukai na unafukuzwa.
Papy Kakol anayepiga na Wenge Musica Maison Mere yake Ngiama Makanda ( wengj mnamjua kama Werrason )
Ramatoulaye Diabate anayepiga na Bendi ya Extra Musica Zangul Zangul yake Ibambi Ikombi ( wengi mnamjua kama Roga Roga Missile )
Wapiga Drums wote wa leo ( sasa ) wanawaiga hawa Wakubwa zao niliowataja hapa kwani wanajua kweli Kuzikaanga hizo Chips ( Ngoma ) zao.
Hii sekta unaitendea haki sana mkuu Antibiotic!Congo DR nzima ukitafuta wapiga Drums ( Wakaanga Chips ) bora waliowahi kutokea na waliopo lazima uanze na hawa....
Mac Macaire alipiga mno na TP Ok Jazz ya Marehemu Franco, kidogo Pepe Kalle na anamalizia kwa Aurlus Mabele.
Awilo Longomba aliyepiga mno na Pepe Kalle.
Titina Alcapone ( a.k.a Le Grand Prete ) aliyepiga mno na Bendi yangu pendwa ya Wenge Musica BCBG yake Kipenzi changu JB Mpiana kabla ya kwenda Kustaafia kwa Bendi ya Quarter Latin yake Koffi Olomide.
Seguen Mignon Maniata huyu anapiga na Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na ndiyo Roho ya Bendi nzima na Kipenzi chake JB Mpiana na Mtu anayeaminika nae zaidi kwani hata Maji ya Kunywa ya JB Mpiana hushikwa nae huyu Seguen mpaka Chakula au Mvinyo wa JB Mpiana awapo katika Tamasha Ukumbini hukaguliwa nae Kwanza huyu Mpiga Drums wake Seguen Mignon Maniata na huyu Seguen akikuchukia ndani ya Bendi hiyo hukai na unafukuzwa.
Papy Kakol anayepiga na Wenge Musica Maison Mere yake Ngiama Makanda ( wengj mnamjua kama Werrason )
Ramatoulaye Diabate anayepiga na Bendi ya Extra Musica Zangul Zangul yake Ibambi Ikombi ( wengi mnamjua kama Roga Roga Missile )
Wapiga Drums wote wa leo ( sasa ) wanawaiga hawa Wakubwa zao niliowataja hapa kwani wanajua kweli Kuzikaanga hizo Chips ( Ngoma ) zao.
Asante Mkuu. Nina PhD ya Congo Music hasa hasa kwa Bendi yangu ninayoipenda hakuna Mfano ya Wenge BCBG yake Kipenzi changu Jean Bedele Tshituka Mpiana.Hii sekta unaitendea haki sana mkuu Antibiotic!
Spaciba!